Sponsor

FAMILIA YA ABUU HAMISI JUMA, WAFANYA MAULID YA WATOTO - 30-07-2011

4:34:00 AM

Watoto wa chuo wakiingia na dhafa....!!!

PICHA MBALIMBALI
Salama na Sharrifa, masomo wa maana babu wanakupa vitu bab kubwa!!

Rabia Nyembo na nduguze wakifurahia maulidMwajey & Rabia

Rabia akiwa na mama yake mkubwa
Watu wa holland walikuwepo

Rabia Nyembo pendeza eeh!

Cute Baby
Rabia na bibi yake mzaa mama, duh bibi yuko fit kweli kweli
Rabia akiwa na wifi yake mwenye dira la green
Rabia na baby gal wake cute

ZAWADI ZA WATOTO WA CHUO, WANAFAMILIA WALIWAPA

Kuku na Nyanya na vitunguu kwa ajili ya Ramadhani


  Rabia na mama yake mzazi na watoto wake
You Might Also Like

1 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.