Sponsor

AQDI NA SHINDA YA RAMRA - 23-07-2011

6:11:00 AM

Ndoa ikifungwa

Somo pambe ile mbaya akiweka mambo sawa wakati ndoa inafungwa inafungwa, Chezea Ghaife..!!

Dish Dash la ukweli, si mmemuona Ramadhaani Kareem
 Mwali uwe unanukia udi kila wakati utaiweza hiyo!!!
 Ramra akifunuliwa na mumewe


 Pendeza eeh!!

 Mwali na somo


You Might Also Like

4 comments

 1. MASHALLAAH WATU WOTE WAMEPENDEZA,M.MUNGU AWAJAALIE NDOA YA KHERI NA AWAEPUSHE NA MAHASIDI INSHALLAA.

  ReplyDelete
 2. MASHALLAAAAAAH MMEPENDEZA WENYEWE.

  ReplyDelete
 3. MASHALLAAAH KILA KHERI KATIKA NDOA YENU.

  ReplyDelete
 4. Bi harusi nguo yako nimeipenda, inapatikana wapi? ndoa yangu iko njiani

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.