MAAJABU YA SLIMMING COFFEE, EBU ONA HII PICHA!!, JE UNANGOJA NINI


             Kabla ya kutumia                                   Baada ya kutumia Slimming Coffee
              Slimming Coffee


Kahawa haina mchezo!!! inaondea mafuta yote mwilini
Green Coffee, hii ni maalum kwa wale watu wenye kutaka kupungua kg ndogo ambao hawataki kutumia dozi ya mwezi mzima, hii ni kwa siku 12 tu.
Green Coffee, hii ni maalum kwa wale wasiopenda black coffee, pia ni dozi ya mwezi mzima siku 30, lazima uone mafanikio!!!!
Hii ni black coffee, dozi ya mwezi mzima siku 30

WENGI WAMETUMIA NA WAMEONA MAFANIKIO MAKUBWA, NINAOMBA WALIOTUMIA WATUTUMIE UJUMBE HATA PICHA YA AWALI NA SASA, ILI WATU WENGINE WAWEZE KUJUA JINSI INAVYOFANYA KAZI KUPITIA KWAO, USIFANYE SIRI MWAMBIE NA MWENZAKO! KINZURI KULA NA MWENZIO!!!
Piga simu no. +255 655 426 100/0754 266 701, tukulete hapo ulipo, wa mikoani tunakutumia kwa njia ya mabasi, watu wa nje ya Tanzania wawambie ndugu, jamaa zao wawachukulie!!! stock  ndogo!!!! 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. Tatizo la watanzania hatujui maana ya kutangaza biashara mtandaoni... 80% ya matangazo ya bidhaa huwezi kuona bei hata siku moja.. hivi hii ni kwanini??? Haya naomba kuuliza ni kiasi gani hiyo dozi na unapungua uzito gani kwa muda gani. ni hayo tuu

  Sis

  ReplyDelete
 2. bei gani inauzwa?

  ReplyDelete
 3. Simu mbona hampokei?

  ReplyDelete
 4. Habari dada wa MASHUGHULI BLOG,mm niko tofauti kabisa sihitaji kahawa ila nilikuwa nauliza mbona siku hizi kimya sana bloguni tumeyamiss sana mambo yako siku hizi kila nikiingia hola hakuna jipya,kila la kheri. Mdau wa STOCKHOLM

  ReplyDelete
 5. hata bei husemi ili wat tujue kama twaweza nunua na kupass ujumbe kwa wengine. watz tuamke jamaniii

  ReplyDelete
 6. Akitaja bei TRA watakuja

  ReplyDelete