SINGO YA ASMA, CHICHI HOTEL YAFUNIKA ,ALL FASHIONISTA WALIKUWEPO....CHUNGULIA


Vinywaji vya ukwee'e
MC - Mishi Bomba, funika bovua

Malkia wetu Asma, bi harusi mtarajiwa, Aqdi Dubai....!!!

Gud Pose Asma

unywele wake bibi sio lace wig

Cake


Cake hii ililetewa na ndugu yake mpenzi Hawa Mkamba, kama unavyoiona ni perfume ya channel, Bi Asma yeye anafanya kazi katika kampuni ya CHANNEL  Dubai, ndio maana cake hiyo ikatengenezwa hivyo

Mchezo Pesa umeanza
Tahiya akitunzwa na Nuru Mwene & Joha Simba mapesa kibaooo!!!

Watu wakirusha roho kwa raha zao

Isha Mashauzi alikuja kuimba special kwa ajili ya Asma, na alisema walipokwenda Dubai Asma almpokea kwa vinzuri, 

Asma akicheza nyimba zao za kiaarabu kwa raha zote!
Mama mzazi katunzwa babu!!
Tahiya akiendelea kutunzwa na Sabra na Aunty Shumu wake!! !!!!!
Mwajey Seleman akimtunza shozsti wake Tahiya, Asma naye alitmtunza ndugu yake, Tahiya nyota yako inagaaa babu chezea Mrs. Dawood!
Alyah akitunza na mawifi zake babu!!
Dida akitunza shostito Tahiya!!! msichoke jamani ndio maajiliwa yake!!
Somo akicheza bi harusi, chezea somo aaah! tumeona kiuno bwana!
Latoya akicheza kwa raha zake
Nasra akicheza nakukubali!!!

FACES

 Sharrifa, somo wa ukwee'e, mambo yake kimya kimya lakini makubwa!
Tahiya, Latoya na Raya pendeza kwa kwenda mbele, make-up za ukwee'e
Hawa Mkamba na Mishi


Fatma na shostito wake!!

Tahiya Dawood na dada zake Joha, Nuru, Shariffa & Bahiya nani wa kukupiku ndugu hakuna, mie tu nimekosekana hapo


True Friend!!!

Super Star!!!
Mwajey na Mwadawa - Mashostito kila mtu na shoga yake babu!!
Mwajey & Raya, wadau mmeona saa mkononi vitu vya ukwee'e
Muzne & Jamila Siwa
Right: Joan mkali wa kuweka kope Tanzania Nos 1, wengine wanaiga tu, pale K-Nyama

R: Salma a.k.a Kimora Lee & Friends
Mashostito's
Joha & Nuru Mwene, mashostito walioshibana, mtajibeba mwaka huu
Cute Gals eeh!!!
Nasra na mabesti wake
Isha & Asma
Mariam na wadogo zake!!!
Mama mzazi- hongera mama duh! katoa vitu bwana, huyu ndio mama wa Raya, Tahiya, Fatma, Kei, Nasra & Alyah
Halima & MarimRED CARPET
Blood Sisters


Bilal Seduction with ma' gals!
Wahida, Asma & KeiDida pendeza bi harusi 

Bilal & Khadija Mwanamboka


Brenda & Tahiya
Princess Fatma
Raya & Brenda
Blood Sisters

Swagga's
 Inabidi utuambie hair style saloon gani
 Umecheki unywele huo na bangles za ukwee'e na MOI karibia nitakuwa unywele huo nitaringaje??? 

Viatuz......


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. MIMI SHIDA YANGU NATAKA KUJUA HUYU BILAL NI NANI. KWANI KILA SHUGHULI ZA HUMU NDANI YUPO HATA ZA WANAWAKE WATUPU YUPO SASA YEYE NI MC,DJ.MPAMBAJI AU MPISHI?

    ReplyDelete
  2. Mie wacha niseme langu, ni kweli sherehe ni ya kinamama, tena kwa ajili ya kumuandaa kwenda kwa mume, mtakavyoiita iwe single, double whatever, lakini tena mapombe makali? Nilikuwa sijui kuwa mwakata vileo vikali. Sasa huko kwa mume aenda kuwa komba au?

    ReplyDelete