SHEREHE KUBWA YA NDOA YA HAWA HATIBU, ILIYOFANYIKA MTAA WA KIPATA IKISHEREHESHWA NA WARUMBA, BAIKOK NA RUSHA ROHO

Pendeza Bi Hawa
 Bi Harusi Hawa Hatibu
 Bi Harusi Hawa na Somo yake Hasina Kawawa

MC
MC - Mama Dalila Jagar wa ukwee'e

Warmba che! warumba henya ndio hawa hapa!!, wale Nyota aliwaimba kwenye gere

TUNZA 
Ngoma ya warumba ndio walioanza kutupa raha, sikuweza kuchuku
Somo alimtunza mwali wake, zawadi hizi hapa, 
somo ni Hasina Kawawa
Somo aliingia kwa kishindo, maana kuna vijana waliingia 
wamebeba washing maschine ndani ya box lake na kuanza 
kutoa box kwa speeed ya ajabu
Kitu hicho-WASHING MACHINE
Bi Hasina akimpa mwali wake risiti ya washing machine
Bado Bi Hasina Kawawa anendelea 
kumtunza mwali wake na bed Cove
Bazee za ukwee'e
Raha tupu kuolewa, wala hakuna cha ndoa 
ndoano kuanzia mwanzo hadi mwisho
Maya wakimsaidia Hasina kusasambua sanduku la ukwee'e
Familia ya Chamuganda wakiinigia na zawadi
Woooh!! mambo ya flat screen inch 42 yenye thamani 
ya 3 million wako juuu Chamng'anda
mama mingoi, alianza kumtunza shosti, si unaju tena yeye bila 
kukata kiuno mambo hayakai sawa na kiuno cha ukweee'emambo yake hatari tupu!!
Mashostito wakimtunza Bi hawa
Sakina Mlawa shosti wa Gea Habib, akimtunza, shosti kabati la 
viombo lenye viombo ndani, uko juu Sakina!

Sakina, hakuishia hapo alimanza mchez pesa!!!


Familia ya Simba Waziri Simba wakimfuta jasho mama, 
Mwanahamisi Chamn'ganda, mchezo pesa

MADINI MADINI ya ukwee'e, 
BI Hasina Kawawa, mara chache sana hukutana na hivi 
nimezoea kuviona kwa Mama wa upanga Salma MntamboPICHA MBALI MBALI NA BI HARUSI

Maya mdogo wake Bi Harusi Hawa na Hasina KawawaHawa & Maunda, Boss wa Mambo Fashion
Maya, Hawa, Friend na Mama Mingoi
Mama na Mwana
Hawa & Sakina Mlawa

BibisShumu & Zuhura -Sisters
Wana Baikoko Original huyu ndio Maembe wakiwa na dada yao, ukiwataka hawa piga simu ya mashughuli blog tunakupatia


Dalila, Mwanaidi & mdogo wa Mwanaidi

Varado alinomba nimpige picha ili ndugu yake wa Ujerumani amuone aikuwa yuko freshL: Shumu & friendRED CARPET
Somo na mwali
mdogo wa bi Harusi


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. Dada Mashughuli please naomba basi mwambie bibi harusi wetu angalau awe anasmile ili tujue nae anafurahia harusi yake thanks watu walipendeza sana

  ReplyDelete
 2. Dada hili lipochi- wenyewe mwaliita clutch inakuwaje? mbona laonekana kama linamnyima raha! kumechisha sawa, lakini lilikuwa na function yoyote hapa harusini?

  ReplyDelete
 3. mmependeza wandugu

  ReplyDelete
 4. Hawa Hatibu ulikuwa unabariki ndoa au unafunga ndoa/ kwa umri huo na umbo hilo nahisi wewe tayari ni mama fulani

  ReplyDelete
 5. Watu wamependeza, ila jamani mimi nashindwa kuelewa hizi make up wanazopaka wadada na wamama especially wanaotokea kwenye blogu hii wanatoa wapi jamani, yani kwakweli haziwapendezi hata kidogo, sijui zinazidi sana ama ndo nini, tujiangalieni kwanza jamani jabla ya kutoka kwenda shughulini.
  asante

  ReplyDelete
 6. mimi hiyo pose na u seriose wa bi harusi ndo sijaelewa na hiyo clutch anaishika kama vile kunamtu anataka kumuibia

  ReplyDelete
 7. ndoa yake ya ngapi mbona mbibi?

  ReplyDelete
 8. chezea mrs mohammed bwimbwi wewe utadeki bahari

  ReplyDelete
 9. jamani waislamu, bi harusi yuko vipi? maziwa wazi.LAdies guest makeup what can i say less is more.

  ReplyDelete