NEW VERO SALON BEAUTY & BRIDAL CARE SINZA- KWA REMMY

ILE SALOON YA VERO WA KINONDONI, SASA WAMEHAMIA SINZA KWA REMMY SEHEMU KUBWA ZIADI, KUNA CHUMBA CHA MASSAGE, DRESSING ROOM KWA AJILI YA MABIHARUSI, NA SASA YUKO KISAWASAWA KWA AJILI YA KUPAMBA MABIHARUSI PIGA SIMU No. +255 713 244970/+255 767 244 970

Kwa bahati nzuri nilishuhudia watarajiwa 2 wakipambwa basi nami nimekuletea picha hizi uone mwenyewe.

Mtarajiwa wa pili huyu hapa


Make up set za VERO ni za ukwee'e au originally umeona eeh! Mary K. MAC, Dior, Oriflame Black Opal nk, kwa nini usipendeze???? usidanganyike hapa ndio alpha na omega bwana wenye saloon zao zenye majina wakitaka kutoka ki ukwee'e wanakwenda kwa VERO!!!
 

Na mimi pia nilipata offer ya kutengeneza nywele zangu, si unaona eeh!unywele huo, umependeza comments basi, wewe sema chochote ndio kukosoana!!!

Wadau wangu nawaachia swali Je Saloon ni Ujuzi au Vifaa??? 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. Hongeara sana da'Vero!!mambo yako si mchezo naona uko na maua mathuriii yapethaaaaaaaa.

  ReplyDelete
 2. nimependa anajua kupasi nyweli kuna watu bwana akikupasi unatamani uchane tu kawaida, big up vero.... saluni ni ujuzi na sio vifaa..waweza kuwa na vifaa na ukawa ziro kwa kila kitu

  ReplyDelete
 3. Yani we vero unataka sasa tuwe tunafunga safari na foleni yote hiyo kuelekea sinza kwa Remmy? Tutafanyaje sasa? Shughuli ndiyo imeshatukuta. Lakini kubwa kuliko yote ni HONGERA SANA maana tumejibana na wewe kwa muda mrefu sana. Yani nikwambieje, I can't wait kuingiza miguu yangu hapo saloon. Big Up!!!!! Natumaini pasi ya chui chui umeibeba!!!

  ReplyDelete
 4. Hebu Vero naomba uweke maelekezo ya kufika hapo saloon kwako i.e DIRECTION. Maana tusiishia kwa wamasai.

  ReplyDelete