NDOA YA ARAFAT NA SANIA - AL HILAL FRIDAY 07-07-2011

Maarusi

Bi Sania akisaini cheti cha ndoa 
Baada ya Sania kusaini cheti cha ndoa, Bw. Arafat akaiingia ukumbini 
 Arafat akimfunua mkewe veli
 Wakavishana Pete
Sasa we wangu kihalali njoo tukae mke wangu

FACES Mashallah!!! Cute eeh!! halafu inazidi kwa sbb kila muda ana smile!!!
Tutty Fruitty hii ni maalum toka kwangu kwa ajili yako, & asante kwa zawadi...mwaaaaah!!!!

 Nuru Mwene na wifiye, ma' nuru subiri wataona mambo yetu..!!!


Mama mzaa chema Hadija na Mwanaisha Masanga na bibi wa bi harusi 

 My Wiiiii .... lol

Joha Simba na Wiii wake...lol


 Hidaya kazirahabi
Mwaka na bibi zake...!!!

Pacha yuko wapi??? sikumuona

Salma mntambo wa ukwee'e umepata mlinzi??
Mum & Daughter! 
 Mariam Mntambo pendeza eeh!!!

NAPENDA HII
kikuba
Henna

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. MOI, huyo ni Mariam Mkweche sio mariam Mntambo

  ReplyDelete
 2. Hongereni maharusi.
  Baada ya hongera hizo, jamani, sijawahi kuona bibi harusi ambaye yuko serious kama huyu. Hata kusmile, achilia mbali kucheka! Labda hakupata mtu wa kumshtua. Mtu unaweza kudhani amelazimishwa. Jamani makungwi, mbali ya mambo mengine mnayowafundisha wari wenu, ni muhimu kuwasisitizia kuonyesha atleast smile. Sasa kama huyu, picha zake zimeharibika kabisa. Waalikwa, aka! wamependeza kama nini, wamefurahi, wanasmile ili mradi wameakisi shughuli nzima na kuipendezesha. Haya kama nao wangekuwa serious kama bibie ingekuwaje?. Ni bahati mbaya hawezi ku-reverse matukio. Seriousness ina sehemu zake jamani.

  Haya. Bado namtakia kila la kheri. Maharusi watarajiwa, zingatieni jamani mpendezeshe picha zenu. Hiyo ndiyo kumbukumbu ya kudumu mje kuwaonyesha watoto na wajukuu zenu.

  ReplyDelete
 3. helen,naipenda sana blog yako napata kuwaona ndugu na jamaa zangu wengi wa kariakoo mungu aibariki blog idumu.iyo picha ya tatu kutoka chini poda mwee

  ReplyDelete
 4. Samahani wadau uchovu mwingi ndio maana nimekosea sana, huyo ni mariam mkweche asante, Tatizo la poda za uso liko nje ya uwezo wangu, kwa sababu watu wanapakaa foundation amdazo sio rangi zao nionavyo mimi kwa sababu mie sio make-up artist, kama kuna mtu yoyote anweza kutoa ushauri wa kitaalamu zaidi on how to apply make-up itakuwa vinzuri, ni ngumu sana hata mie pia naziona lakini nitafanyanje???? nipeni mawazo yenu wadau.

  ReplyDelete
 5. harusi ni nzuri.waalikwa wamependeza pamoja na bibi sania.ila sasa hacheki mpaka imekua tena picha hazina mvuto!..siku nyingne ajitahidi mwanmke tabasamu

  ReplyDelete
 6. Mashughuli.hongera.sana.ujue.kuhusu poda.itakuwa Ngumu.sana kwa watanzania.mna.hatupo.natural.jibu sababu yahoo obagi.sasa.tunavyopaka.kila Sikh ngozi.inabadilika.uwezi.kutumia.enjoface.nambamoja.lazima.ubadilishe.kutokana.nsunavyojicjubua.kilaskilasIku.mna.ngozi.inabadilika
  Kila siku.kutokana.unavyojichubu.lazma.uonekane.kituko.ila wengi wao hawajagundua.hilo.nskulifanyia.kazi.ila.eanafanganyana.kwa comments.umependeza.pia.utakuta.Wendi.wao.hawaingii.kwenye.komments.ili wakisoma.hapo.mtu anajua.makes yake.ukiweka picha.uwe.unawambia.umeshweka.waingie.wasome.Shari.wetu.utawasaidia.sana.nb
  Mfano bella naija.blog.unadhani.awapaki obagi.wananajua kujificha.n.a. make up.but.waTanzania.tunakurupuka.Tuesday.kama.kibao kata.

  ReplyDelete
 7. Bwana harusi kamfunika biharusi hawajaendana mwarab na mzaramo wapi na wapi

  ReplyDelete