MONJA LISEKI WEDDING, TANZANIAN FOOTBALLER PLAYER, MTIBWA SUGAR..!!!

COLOR::PINK & PURPLE
VENUE::HELLENIC CLUB - UPANGA


 MC
 

Our Bride!!

Lovely..!!

Malaika's
Kibandiko

Vibandiko kwa kwenda mbele..!!!
Star swaga..!!!!

Pendeza eeh!!!

Zawadi

Hawa ni Binamu wa Monja Liseki, walimau kuvaa jezi ya timu anayochezea binamu yao wakati wakimpa zawadi, nadhani no 6 ndiyo anayochezea.
Watu wakiserebuka, siku hizi muda wa kucheza mziki kwenye shughuli nyingi kutoka na muda wa zawadi kuchukua nafasi kubwa, lakini mimi naamini kabisa watu wakipata muda wa kucheza huwa wanafurahi sana, Harusi hii ya watu waliserebuka kweli kweli.

FACESMage

Mama mzazi wa MonjaMage & Rukaina of 


RED CARPET

Umeona mshono??? mambo ya Rozella hayo nzuri eeh!!!
Couples..!!Men
Designed by Rozella FashionsMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. Hongereni maharusi Mungu asimamie ndoa yenu!!!!

  ReplyDelete
 2. mashughuli naomba email yako tuelewane kuhusu tangazo la www.interiordecos.com kuweka kwenye blog.

  ReplyDelete
 3. Mdau uliyeomba email yangu ni mashughuli@gmail.com asante

  ReplyDelete
 4. wamependeza ila picha mmbona nyeusi sana hata sura wengine hatuwaoni vizuri au flash ilikosekana. unless otherwise wamependeza.

  ReplyDelete
 5. Wapendeza kiasi chao, Mke nae ni footballer au Mcheza ngumi? Ninaamini ndoa hupangwa na Mungu, Tunawaombea Mkae vizuri katika ndoa yenu.(maana ukitafuta warembo sana nao ni tatizo).

  ReplyDelete