Sponsor

MCHANA HUU MSIBANI KWA MAREHEMU ISIHAKA KIBENA MCHEZAJI WA TIMU YA SIMBA ZAMANI- MWANANYAMALA UJIJI

4:57:00 AM

Jeneza la Marehemu Isihaka Kibena likiingia ndani ya nyumba yake mwana-nyamala Ujiji  baada ya kuswaliwa msikitini, baada ya hapo mwili wa marehemu utasafirishwa kwenda Masaki kijijini kwao kwa maziko.Inalilahi wainalilahi rojiun.


BAADHI YA WAOMBOLEZAJI KATIKA PICHA

Makunda Kassongo na Shemeji yake Abdallah Hashim
Kocha Jamhuri Kiwelu

Banana Zorro


Leo Camera ya Mashughuli imemnasa mdau wake mkubwa, mmoja kati ya hawa..!!!


WANAWAKE
Mwalima Bahiya ndio alituongoza na dua
Pole mdogo wangu Salma IsihakaYou Might Also Like

1 comments

  1. INALILLAH WAHINALILLAHI RAJUHUNI!!!!

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.