KITCHEN PARTY YA TANISA MWAIBULA - LAMADA

Bride:: Tanisa Mwaibula
Venue:: Lamada Hotel 
Colour:: Black & White
Caterer:: Talma Caterer (Mariam Twahiri-+255 784 830 030
Drinks Supplier:: Picadilly  +255 715 777 740
Decoration:: Picadilly  +255 715 777 740
Designer:: Bahiya Lumelezi +255 713 233 362
Blogger:: Mashughuli +255 758 266 701/+255 655 426 100


 Mwali wangu ngoja wakufichue kwanza ndio shughuli ianze..lol cheze Tanti Boy
 Mama Nuru Mwene akimfichua mwanaye chezea yeye..!!

 Shumu akimfichua ndugu yake..lol

 Fadya akitoka kumfichua dada yake
 Kikapu kimejaa ndio somo akakubali sasa!
Nguo ya Bi Harusi na Malaika (watoto) & Maids zimebuniwa na mbunifu mkongwe wa siku nyingi bi Bahiya Lumelezi anapatikana Magomeni kwa # ya simu hii hapa +255 713 233 362

  Melody Taarabu Live on the stage


Chakula - Talma Caterer au Marima Twahir 
Vinywaji- Picadilly


Picadilly pia ni Drinks Supplier, yaani ukiwa na shughuli yako unampa kazi ya kuleta vivywaji na kuserve wageni, basi kama utapenda na Fresh Juice pia utapatiwa.

MC - THE ONE & ONLY JAMILA KITMTIM

 

 Hiyo unayoiona hapo pembeni ni floor dancing stage. hata kama sherehe imefanyika garden lazima watu wacheze mziki bila tatizo wala viatu vyao kuharibika, inapatikana Picadilly


Ukumbi unavyoonekana baada ya watu kuingia

yote hayo yamefanyika na Picadilly 

ZAWADI & MCHEZO PESA

Zawadi ya mama seti ya dhahabu kama unavyoona

 Mama mzazi Nuru Mwene akionesha zawadi na risiti
 Asante mama nakupenda mno...!!

Huyu anti nimesahau jina lake akimtunza Shumu mchezo pesa umeanza
 
ZAWADI YA SOMO...
 Bed Room Set
 Kabati limejaa nguo....Tanti Boy wa Ukwee
 Lala mwali wangu kwenye 6x6, ujifarague

ZAWADI YA SAIDA THABIT MAMA WA CHINA CHINA


Mama Saida China akijiandaa kwenda kutoa pesa na zawadi


Baada ya kumkabidhi shosti zawadi ya dinning table alimtunza Tanisa Laki 5

 Tanti alitoa zawadi ya khanga na dira kwa mabibi na wazazi idadi yao 10

STAR WOMEN GROUP, kikundi chetu kila mmoja wetu alishika laki mkononi kumtunza mwenzetu, jumla yake ilikuwa million moja na laki 5, chezea sisi wanachama wengine wako UK aluuuu!!
 MOI- nikumtunza Nuru Mwene
 Sihaba Juma naye ni mwanachana mwenzetu

STAR WOMEN GROUP
Zawadi ya dada Fadya Fridge fulll kila kitu
 Thank you my sis

 Zawadi ya mam mdogo Fatuma Adam Water Despenser, kitu kimeingizwa ukumbini ndani ya box

 Zawadi ya mama.... LCD TV 32 inch
 Mashostito's na Washing Machine
 Rice Cooker
 Mchezo pesa kama kawaida
 Khalid Bakoti na zawadi yake-Garden Table chezea Khalid uko juuu
 Mchezo pesa - Sittu Mwasi akitunza
 Ndugu yangu twende nikakupe zawadi yako
 4-plates Gas Cooker
 Shosti mie nimekuletea Coffee Table ya ukwee na carpet
 Fatuma Adam akitunzwa
 Da joha akitunza na Fadya

FACES
Fadya & Picadilly Director

Tanisa na wifi zakeHajaat wangu naona umeazimia maana siku hizi unatoka kinaija tu
Catherine African Temu
Gea Habib na Shostito wake Sakina Mlawa!!!

RED CARPET

Sherry & Tahiya, umecheki nguo na kiatu cha da Sherry nimeona kiatu, clutch & kiatu uko juu wa mjini ni wa mjini tu, kweli nimeamini jogoo wa shamba awiki mjini

MOI & Joha Simba

Sharrifa Hashim wa ukwee'eJoha Simba - Designer na Uganda Style

Kaka Tewa Umemuona???
Mwanaisha Kisoky unamkumbuka? mama Saada bi harusi wetu kitchen party yake pale Vijana
Gea & Sakina Pendeza eeh!
 Khalid Bakoti na shostito wake, Khalid zawadi yako pambe!!!
Happy Baghdella 
Nilimpenda sana!!!
Sittu Mwasi & Shosti wake

Mariam Mkweche 
Stunning!!!
Bahiya Lumelezi Designer & Zuhura


Shumu, kama kawaida eeh! pendezaHasina Baby!!


Bibie Lumelezi

Guess Who????Boy Friend Watch - Tahiya uko juuuu


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. Mashallah imependeza mno, yaani mtu huchoki kuangalia!!!

  ReplyDelete
 2. Wamependeza..... ila baadhi ya waalikwa nadhani make up imeleta utata kidogo.....

  ReplyDelete
 3. Shughuli bomba, zawadi bomba, mavazi na viatu bomba, ila mapouderrrrrr. I mean mapowder au niseme mapoudaaaa, hivi nyie kina mama kweli hampendani kama hakuna vioo basi hata kuambizana mnashindwa?

  ReplyDelete
 4. Mashaallah watu walipendeza make up ndo imenimalizia hamu ya kuaangalia .sijui nlirembewa saloon moja ndo mkapura kupita kiasi au vioo vinadanganya any way msijipure ikapitiliza

  ReplyDelete
 5. mashughuli iko juu. picha safi mpka basi. ila wamama wakubwa jamani mpunguze kidogo mapowderrrrrrrrrrrr.

  ReplyDelete
 6. Unajua shughuli ni ukumbi na mapambo, jamani mpambajia amejitahidi sana kwanza amepamba tofauti na wapambaji wengine, unajua Tanzania tatizo letu hatuna ubunifu, yaani style ni hiyo hiyo kwenye shughuli tofauti. Mimi namsifia sana mpambaji si ndio huyo Picadilly? hongera zake tutakutafuta

  ReplyDelete
 7. Mashughuli hebu waonyeshe shoga zako hizo picha labda watapunguza hayo mapowderrrr! Wengine yamezidi utafikiri clown au wanakwenda kucheza kilua ile ngoma ya mashetani ya kimanyema? Au utasema wari wa kiume wametoka jandoni? Mapowderrr yameharibi picha za shughuli ya watu.

  ReplyDelete
 8. Kwanza hongera sana, si mchezo pambe ya kufa mtu.

  ReplyDelete