Kitchen Party ya Aida Lango la Jiji - Migo MigoNguo ya bi Harusi, designer Bahiya Lumelezi


Yahaya Caterrer Mwanaidi akitunzwa
 Mariamu Best akimtunza mwana
 Saida mama wa china kitunza
 wa ukwee'e
Umeniona mdau? wanasema mwanamke nyonga makalio hata mumeo anayo, nikitunza babu!!
 Hichi ndio kikundi chetu kipya babu jina ndio natufuta "STAR WOMEN GROUP" mimekaaje?? toeni idea wadau!!!!
 Rehena akienda kutunza
 Salama akimtunza mwanaidi
 Rehema na mwanaye
 Prince akiimwimbia bi harusi aingie
 akamwendea Tanti si unajua penye pesa kila mtu anajipendekeza..!!


Zawadi zilikuwa kibao ila hizi chache ndio nimeweza kutoa
Cute gals!!!, 
Designer Bahiya
I like you bby
Tatu Lumelezi
Hawena - Bongo is ma' town!!!

Salama- Mwanamke Biashara bwana ukoo juuu, songa mbele, mdomo nyumba ya maneno mdomo usijali wapotezee..!!!
Mashostito's
Leo ndio Leo asame kesho muongo, hapo Lamada watoto wa mjini woteee tupoooo, Mambo ya Nuru Mwene, somo Tanti Boy leo mchezo pesa sijui nisemaje? Tanisa mtoto wa mjini, mtoaji leo atapewaje??? na
 Sharrifa & Rehema mashostito's
 Saida & Bilal

 Mwanabibi & Sabrina this is special frm me to you guys,CLICK HERE TO KNOW SABSWAGGA
 Mashostito's

 Super Star Tanti Boy, Designer & Somo na Bibi Lilly
 Nuru Mwene a.k.a - Designer anayechupukia, mbona patakuwa hapatoshi..!!!
 Mtu & dadaye mmhhhh!!!
Baby face Mwanaidi

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment