WARI WATOLEWA NJE BAADA YA KUCHEZWA

Hawa sio watarajiwa ila walichezwa tu, katika kuweka mambo sawa upo hapo??? sio lazima upate mchumba shosti, unaweza weka mambo poa, ongea na Nyota ndiye aliyekuwa somo, kumpata tuma email via mashughuli@gmail.com

KIFUTA JASHO
mmoja wa wanawali akitunzwaNYUSO
Nakuona shosti Salma Kessy ukifuatilia shughuli
Somo wa masomo Nyota chezea yeye mambo 
yake bab kubwa!Nuru Mwene kama kawaida yake!
Eshe & Halima


NYONGA, Makalio maajiliwa!!!
Msichana huyu mwenye purple, duh alikuwa 
anashindana na baikoko gals!!

The One & Only RED CARPET
Zuhura mama wa vimini, I really like you!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. Ukisema mwanamwari unakosea coz wanawari ni msichana mdogo aliyevunja ungo ambaye ni BIKRA sasa hao wameshapevuka hata sijui tuwaiteje nadhani kama sikosei wanaitwa WARI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WAMEPENDEZA JAMANI HAWA NI WARI KWELI MMMH HAYA

      Delete