Interior Decos Ndani ya Dar es Salaam


NDIO UNACHOKIONA NDICHO UTAKACHOPATA NA ZAIDI......HEBU FANYA KUIPAMBA NYUMBA YAKO KWA KUTUMIA VIDOLE VYAKOOOOO.....INTERIOR DECOS...WAMEAMUA KUKUPAMBIA NYUMBA YAKO KWA MACHO  NA VIDOLE VYAKO, TEMBELEA INTERIOR DECO KISHA TOA ODA NA UTACHANGIA PESA CHACHE TU NAKUIFANYA NYUMBA YAKO KUWA ILE YA NDOTO YAKO.....KUONA INTERIOR WANA NINI NA NINI 


ANGALIZO

Mtaalam wa INTERIOR DECOS toka London, UK atakuwepo Dar es Salaam mnamo Agosti 22, 23 na 24, 2011.
Muda na ukumbi ambapo baadhi ya kazi zitaonyeshwa na ushauri wa bure wa jinsi ya kuboresha nyumba kutolewa, tutajua baadae. 
Pia atafanya home visits na mwenye kuhitaji itabidi atume email kwenda decos@interiordecos.com ili kuweka appointment, hata kama huna chumba kimoja ongea naye atakupa ushauri wa jinsi kutengeneza pawe mahali panzuri baada ya mihangaiko unapumzika, jamani tubadilike tupende na sehemu tunazoishi sio kupendeza barabarani tu...tuma email sasa hivi, mie wa kwanza!!

Kwa walio nje ya Dar es Salaam wanaweza kutuma picha za nyumba zao na kupata ushauri kwa njia ya mtandao. 


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. Halima kamusi haya haya wakimbeze hao wasichana wa dar, asante kajipangeni upya, leta raha mashughuli

    ReplyDelete