MASOUD PICADILLY INVITATIONS CARDS AND FOOD CONTAINERS, SHISHA

Ni yule Yule PICADILLY amekuja na mambo mapyaaaa kabisa kwa ajili ya shughuli number zake za simu hizo hapo piga ujipange kwenye shughuli yako, Harusi yako ikiwa pambe inaacha gumzo!!!

0715-557774/0772-777740/0784-777740/0754-777740

Wanapatikana Congo/Rufiji Street

Shisha, kwa sie waarabu lakini siku hizi ni raha ya kila mtu babu, Picadilly ameleta na sasa ni za kuuza stock ya kutosha, hata kama unataka za biashara zinapatikana

Food Containers

Transparent Food Containers

Hapa ngoja tuongee kidogo wadau, hizi ni food container kwa ajili ya chakula kwenye shughuli si mnajua zile Take Away za alminiun ambazo ndio watu wengi wanawekewa bites kwenye, sasa mambo haya hapa muone Picadilly mie namuita mzee wa mazagazaga ya shughuli maana ukifika kwake utaona vitu vingi first class na bei yake ya kibanadaaaam!!


Invitation Cards

Royal Blue & Pink!!!


hii ni rangi gani tena???


KARIBUNI

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment