Sponsor

KITCHEN PARTY YA ZAINABU - MANGO GARDEN

11:12:00 AM
Umecheki sketi nyuma ilivyomwagika? ?? na nguo kwenye bega??? hayo yote ni mambo ya fashion designer Joha Simba - Call her on +255 715/784 612954 


Designs  by Joha Simba, nilikosa vedeo ya hawa watoto waliingia na zainabu wakicheza kwa mada kweli kweli, umecheki pozi zao???

Joha, mama mzazi wa Zainabu-Dress Designs by Joha Simba 
Zainabu akicheza na mama yake baada kumpatia zawadi mama.

Kama kawaida yake MC-Jamila Kitmtim 

ZAWADIMCHEZO PESA..!!Sharrifa Hashim wa ukwee'e uko juuu pendeza ile mbaya!!!! Ghaife this is special from me to you!!! watajibeba mwaka huu!!!RED CARPET


Vya ukwee'e

 


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.