KITCHEN PARTY YA REHEME JUMA SIMKOKO

Bride:: Rehema Juma Simkoko
Somo:: Shariffa Kavu
Colour::Purple, Yellow, Pink Zain & White
Venue:: Nadds Hall - Salender Bridge
Entertainment:: Melody Taarab Band Live, Kibao Kata & Rusha Roho
Caterer:: Princess Latifah Caterer & Decorations - +255 713 617 051 


Bi Rehema akiingia ukumbini ndani ya Hammer

Kwanza alishuka soma kuangalia mazingira kama yako OK!!, si unajua walioachwa ....!!!


Umecheki swaga zake viatu nguo kwa nyuma na hair style???

Somo & Mwali, chezea Sharrifa Kavu...si mnajua mambo yake ..!!

MC

The Only & One MC in Town Jamilla Kitmtim a.k.a JK
JK  -Wamishari
Watu - na shari zao
JK - Wamikulhu
Watu - Hawatushughulishi
JK- Wamnifedheha
Watu - Wamefedheheka
JK-KINA NANI?????
Si hao waliokaa vibarazani kazi kusema wenzao

Call her on +255 655 614 040

E n t e r t a i nm e n t 
 Kikundi cha Melody Taarabu Live
 Bi Mwanahawa hapa akiimba kinyago cha mpapure!
Kibao kata - Live

Hii swaga ya JK naipenda sana kama nitakuwa nimekosea ipotezeee!!!

Alhanisa Sleyum Zayum, akisoma dua ya kufungua shughuli, Hajat mtarahiwa upo hapo? Amina.... uko juuuu! watajuaje kama ulikwenda chuo?????


Princes Latifah Caterer & Decoration 
Wadau nawatambulisha Princess Latifah Caterer & Decoration, Bwana! sujui nianzie wapi? maana kila kitu kilikwenda sawa, chakula chao ni kinzuri na mapambo ndio hao hao walipamba, kama una shughuli yako na unataka Caterer au Decoration wa uhakika basi Piga no hii muite mwana-mama huyu atakupa ideas nyingi tu, siku zote huwa napenda reasonable price sio jina la ,tu, Princess Latifah they are the best in Town!!!
+255 713 617051

Princess Latifah pia wanatoa menu za vinywaji na chakula, inahu! sio mpaka muhudmu aje uanze kuuliza kuna vunywaji gani, ukifika unasoma then unaagiza tu, unasoma menu ya chakula, ukienda kwenye chakula unajua ule nini kwenye buffer 

Matunda


Mchezo pesa mambo kutunzana babu!!!
Husna Madohora akimtunza Shani - 500,000/=
 
Somo Shariffa akifutwa jasho na Husna Madohora 3,000,000/=
 
Husna Madohora akitunzwa na somo yake mama Tanti Boy wa Ukwee'e, 
Super Star wa jiji shs. 200,000/=

ZAWADI YA SHANI SIMKOKO
Zawadi ya Shani Simkoko, dada yake Rehema, ukiangalia ni sitting room iliyokamilika, si haja kuongea sana, kama kusoma hujui basi picha itakueleza

 Twende mdogo wangu ukachukue zawadi yako eeh!!
 umeona???
Na hii pia usimsahau M/Mungu eeh!!!!


ZAWADI YA SOMO SHARIFA KAVU MTOTO MDOGOOO!! MAMBO MAKUBWA, SOMA ALITOA ZAWADI YA VYOMBO VYA JIKONI VYA UKWEE'E!!!! KAMA MNAVYOONA!!


Ubunifu - Friji lilikuwa limejaaa vyakula vyote, yaani akienda kwake hana haja ya shopping, Sharifa nimeipenda hii


Rehema kwa heshima zote akipokea zawadi ya somo, hapana chezea somo!!


Masomo waliomsindikiza Sharifa Kavu...uko juuuu!!

 Chizenga Family Wakitoa Zawadi yao kwa Rehema na kumtunza Shani
Mrs. Chizenga akimchukua Rehema na Shani kwenda kwenye zawadi, Mrs. Chizenga ndiye mama wa BIG BOSS Chizenga mume wa Shani Simkoko na pia ndiye mama wa Princess Latifah.

Dinning Set iliyokamilika
 
Rehema kabati limekamilika ndani
 Chizenga Family werawera - Oyooooo!!
Shani akitunzwa na Chizenga Family mko juuuuu!! 

Faces
 

Kwa mapenzi ya dhati mdogo wangu


Alhanisa, Mama Mingowi & Gea Habib
Happy BaghdellahAlhanisa na Gea Habib
Tanti Boy wa Ukwee'e - Super Star!!!
RED CARPET

Shani Simkoko - Unatisha!!!!

Mwaka & friend


Vero
Rabia - Mama Sandra this is special for you from me!!!MOI


 Mama Salma Mntambo kama kawaida yake kupendeza, umemscheki shingoni madini ya ukwee'e

Designer - Joha Simba umeona mpya hiyo?? 

Umi Kibasa, ndani ya bongo!!! Cute MariamShosti Bilal kama kawa uko juuu!!


Sisters!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Bi harusi hajapendeza kabisa, ila mungu amjalie katika ndoa yake.. make up hamna kabisa. ila kapata vitu vya ukweli kabisa du! jamani watu wanajichubua humu wanapata faida gani jamani mpaka wanakuwa wabaya. wanawake hatujuamini

    ReplyDelete
  2. harusi ya 2011 ukacomment 2013 kama siuna jeolus ni nn haihuuu walioona wameona mxxxxxxxxxx kwn ww umekatazwa kujichubua yatakushinda

    ReplyDelete
  3. ungeona harusi yake TBC 1 ndio ungeona vizuri alipendeza sn hz ni picha tu

    ReplyDelete