SAADA FASHION KINONDONI YAWAVISHA NGUO VIMWANA WA TWANGA PEPETA NDANI YA SUN NSIRO CLUB SINZA

Muaandaaji wa Kimwana wa Twanga akihojiwa na EATV

Mkurugenzi wa SAADA FASHION, kushoto akifuatilia Introduction na Happy & Mariam
Mmoja wa washiriki wa kimwana akihojiwa na EATV

Muuimbaji wa Twanga ambaye naye Jumsuit yake toka SAADA FASHION
Twanga wakishambulia stage!! show kali ile mbaya!!
Mai & Nyalifa wa EATV - together tunawakilisha!

Mai akimkaribisha mgeni Rasmi ambaye ni mbunge wa Vijana!
Show ya Vimwana wa Twanga miaka iliyopita!!
Introduction ya Vimwana 26 watakaoshiriki, shindano la Kimwana wa Twanga, ambaye mshindi ataondoka na Duka la Cosmetics, Tarehe 28/05/2011 itakuwa semi final, Hapa kila kimwana alitoa yake ya uvunguni ili kupata mashabiki wake!!

Huyu naye alikja kwa style yake
Kimwana akijtambulisha kwa style ya mugongo
Vimwana wa Twanga Pepeta wamevishwa nguo na SAADA FASHION, wadhamini wa blog hii ya mashughuli, wajanja wa mavazi mjini, wanapatikana Kinondoni Manyanya karibu kabisa na Duka la Jackz Cosmetics Piga no hizo kwa mawasiliano:-
+255 717 086355/+255 772 086355
Mugongomungo!!
Show ya pamoja y vimwana!!!!
Happy & Mariam
Swaga za Twanga !!!!
Twanga kuna raha!!!

Jamaa anapendwa sana huyu, yuko simple sana!!!

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment