Sponsor

NDOA YA ZUWENA & ADNAN KITWANA KONDO

11:54:00 PM

EVENT: AQDI
BURUDANI:QUASIDA
VENUE:RUSSIAN CULTURAL CENTRE
DRESSCODE:DISHDASH & DIRA
COLOUR: ORANGE
DATE: 05-05-2011
Vikuba vilitolewa

Take Away!!
tm� | / o �s� �'� �s� �'� �  / p �s� �'� p>

Adnan akimsomea dua mkewe!!!
� ~ � � �s� �'� �s� �'� p>
Happiest Couples!!! – pendezah eeh

Mama mzazi wa Adnan, Mh, Sophia Simba akifurahia ndoa ya mwanaye


Maulid yalisomwa na Mariam Dedesi
Wageni mbalimbali
RED CARPET
Hapa ilikuwa ni DishDash na Madira!!

Kombe Hilooooooooo
hatari nyonga za maana!!!!
Joha Simba akimkaribishwa Adnan chakula baada ya kukombolewa!
Waliomsindikiza wakijichana!!, naambiwa kombe uwa linapikwa kwa ufundi wote aliojaaliwa nao mwanamke, na utayarishwa na somo!!!
Da Joha jana busy busy hata sikuweza kupata swaga zake lakini alipendeza sana!! Chezeya designer!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.