Mary Moyo-Kitchen Party

Bride::: Mary Moyo
Colour::: Black & White
Venue:::: Zhonghua Garden
Designer::: DORICE
Make-UP::::VERO Hair Saloon
MC:::: Vero

Uhalisia zaidi nzuri eeh!!!


Make-up na nywele kama kawaida VERO SALOON mwenyewe, umeona powder imetulia halafu rangi yake haswa Mary mpigie Vero kama unashughuli yako yoyote ile 0713844970

CAKE

MC-Vero, ilikuwa ni mara ya kwanza kukutana naye akiwa kazini, ni mnzuri ametulia na anongea point yaani utakosa moja la kuondoka naye!! no yake itapatikana hapa hapa, mama wa mashughuli kwa nini uhangaike kutafuta MC!!!

Champaign!

Hii nzuri eeh!

ZAWADI'SMwenyekiti wa kamati Angela akimkabidhi Mary viombo walimvyomnunulia

Dadaz wote walizunguka bi harusi na kumpa baraka zao zote!!
Madada baada ya kumpa zawadi bi harusi
Hichi ni kikundi cha kinyerezi baada ya kukabidhi zawadi zao
Vero atunzwa kwa kwenda mbele
Kinamama ya Upendo Group wakitoa zawadi zao
Jane & friend baada ya kumtunza Vero


Kapu la Mama
Ma' mdogo Rachel akiwa kabeba kapu la mama akimuongoza dada yake vero
Vero au mama akimkabidhi mwanaye Entertain Unit, & Flat Screen

Watunzaji waliingia na style yao, walitandika khanga chini na kumtaka Rachel akae ili waweze kumpatia mapesa
Rachel kwa kweli alifunika maana nyekundu zilitapakaa hall nzima

Chakula kiliandaliwa na Angel, sifa moja kubwa wa caterrer huyu kwanza bei zake ni nzuri, chakula kina standard na pia ukifikia wakati wa kula chakula kikifunuliwa ni cha moto utafikiri kiko jikoni, mimi napenda sana chakula kikiwa cha moto hongera Angel no. yake ni

Suprise Birthday ya Vero, kumbe bi harusi alikuwa anataka k-party yake ifanyike 19/05/2011 kwa sababu ni birthday ya mama yake alimuandalia cake - inapendeza eeh!


BIG hug kutoka kwa mama na mwana

Vero akimlisha rafiki mpz Jane Mwaki

Vero & Mkwe mpo hapo lol!


Vero na mdogo wake Rachel a.k.a Lawyer
Vero pendeza ehh! designer wa nguo hii ndio yule yule wa bi harusi wetu Dorice
Rachel na Friend Pendeza eeh!

Cessy & Friend
Familia ya pacha Moyo na Mganga
Kulia ni Dorice designer wa nguo ya bi harusi
Cute Carol!
Bye bye bibie!
Umeona Guuu na!!! sio soda ya kopo, ni chupa ya bia tena zile kilimanjaro!!!

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment