KITCHEN PARTY YA ZUWENA N. MBEGU

Weekend hii siku ya Jumapili nilipata mualiko wa kuhudhria kitchen party ya Zuwena, Mimi nilikuwa upande wa kiumeni yaani ndio waoaji, ambaye kwa pamoja na wanawake wingine, waheshimiwa wabunge tulimsindikiza Mama yetu Waziri wa Wanawake jinsia na Watoto na M/Kiti wa UWT?Taifa Sophia Simba. Nilibahatika kupiga picha chache tu, so lets share this with you wadau wangu. Thanks
Venue: Water Front Hall
MC: Hidaya (mashauzi Family)
Colour: Brown & Purple

Beautiful - ZuwenaDotto + Dotto = 2Dotto’s (Mashostito’s)
Mariam Mkweche na Dotto Maganga
Zahra - (Katibu wa Wilaya Temeke) & Joha (M/Kiti wa wazazi Upanga Magharibi)

Shoto: Angela Kiziga na Marafiki

Mala & her Sister


Right: Elizabeth, Magreth & Friend

Mh. Flora Mbasha (mbunge) & Zainabu Vulu (Mbunge)
Sare ilinoga?
Wadau wangu wa mashughuli – asanteni kwa support kubwa mnayonipa
Zuwena na Marafiki zake from Dubai
Mh. Sophia Simba - Waziri wa Wanawake Jinsia na Watoto na pia ni M/Kiti wa UWT Taifa akimkaribisha Mama Madabida aweze kutoa nasaha kidogo kwa Zuwena

Umemuona - Joha Simba Designer


Zawadi za Dubai, sikuweza pata picha vinzuri

Zuwena na Aunty from Dubai baada ya kumpa zawadi
Mariam Twahiri, akimpongeza Zuwena baada ya kumpa Zawadi, Upande wa chakula ni yeye kama kawaida yake

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment