KITCHEN PARTY YA MARY MOYO

Vero wa VERO HAIR SALOON, KINONDONI zamani amefanya Bantu, ni kina dada wengi sana hapa Town mnamfahamu, amemfanyia kitchen party mtoto wa dada yake ambaye kamlea mwenyewe tokea darasa la 3, mpaka sasa ni mhasibu, Hongera shosti raha iliyoje yr own product!!! Stay tune more pics to come…..luv you all!!!!
Je Unamjua Designer wa Nguo Hii??
Mambo ya VERO HAIR Saloon!!!
Uhalisia wetu ndio ulitawala zaidi, glass ya wine?? kwangu mimi ningeweka mbeke...ah! ah!
Rechal & Friend
Faida & Jane
Vero & Mama Mkwe, pia mimi (Hellen) au Mama Tona nilikutana na dada Hindu, nimefanya naye TICTS, she is a very lovely sister! It was really nice to meet her!!
MC-Vero, ilikuwa ni mara ya kwanza kukutana naye akiwa kazini, ni mnzuri ametulia na anongea point yaani utakosa moja la kuondoka naye!! no yake itapatikana hapa hapa, mama wa mashughuli kwa nini uhangaike kutafuta MC!!!

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment