Tanisa Ampa Beseni la nguvu Zuhura

Zawadi za Ukwee’e
Zawadi hizi ndizo Tanisa alimpa ndugu yake Zuhura kwa ajili ya Baby Boy! Hakika tumekubali, wambeya wote midomo kimya!! Kuna la kusema kunywa mmekunya, chakula mmekula, kinanda mpaka asubihi zawadi za ukwee’e
Baby Boy-Munir
Kongamoyo!
Ndio waliotupa raha hizi mpaka asubuhi!! Hawachoki kesha kesha kweli,
ukiwahitaji piga simu no.+255655470970
Hafua & Nuru Mwene mama wa mipango akiweko yeye aah!! kila kitu kinapatikana chezea wana wa jiji
Tanti boy wa ukwee’e, mama wa mjini, akimtunza mwali wake Tanisa madollar!!

Saida mama wa china akiwatunza Zuhura na Tanisa kama kawaida yake mwaga pesa!!

Nuru Mwene na wanae baada ya kutnzwa na Saida
Mzuka ukinipanda hata nguo nitavua ndi o haya hapa!!!
Faces

Muna & Friend
Masomo wa ukwee Tanti Boy na Sharibella
Marima Best
Shumu na shostito wa ukwee'e


Tanisa wa ukwee’e
Tanisa & Nuru
Tanisa na mashostito's
Bahiya, Faiza & Dalila - Sare imenoga!!
Shumu, Salama & Bijoha
Nuru Mwene - Hii nguo ni nzuri sana ila sikupata picha vinzuri kutokana na heahea zilizokuwamo nguo hii imeshonwa na Fashion Designer mpya anaitwa Nuru, nitawaletea vitu vyake siku zijazo
Nuru & Dalila
Bahiya - Designer umecheki mshono?? kama umependa piga 0713-233362

Tanisa na somo yake Tanti Boy wa ukwee'e
Hasina & Mahamud
Watu pendeza kwa kwenda mbele
Kongamoyo ndio waliotupa burudani baada ya kibao kata kuondoka
Mashostito's

pendeza eeh!!

Mama na wana

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. HELLO MDAU, MIMI NATUMIA CAMERA YA NIKON COOLPIX 100 NI NZURI TU, KWANI TOLEA LA MWAKA JANA. MENGINE MENGI SIWEZI ONGEA ASANTE

    ReplyDelete