Sponsor

DARLING DALILAH, 7 YEARS BIRTHDAY PARTY AT CHUCK E CHEESE's

5:31:00 AM


Mum & Daughter ready to party!
This is simple but expensive!!!
Cute Dalilah with mapooooooozi mwanangu!!!!

Ghaife & her Hubby Issu Frisch, hamuachi miaka 100 eeh!!!

Lucky Dalilah - 3 cakes BIG and Heavy!!!!
Lets have fun my friends


RED CARPET


Tahiya this is for you, umemuona shoga yako? ndani ya B2A
Ghaife dada wa biashara kwa maendeleo, dada order wa vitu original toka Marekani, sasa hivi ndiye mwenye kusupply vitu vya aina vyote kwenye Boutique nying hapa bongo ukimtaka simu ya mashughuli blog atakupa contact zake, wanawake na maendeleo!!!!!! tunakusubiri na mzigo mpya, si umemcheki mwenywe pamba za ukwe'ee!!


Ghaife-Nice Pozi
Dad & friend

Muacha asili mtumwa babu sareeee hiyo kwenye shughuli yangu, mama pambe....!!!
HidaayaHid-Nice Pozi eeh!
Salama - this is for you again!!!!

Ghaife & Hidaya mashostito's, Salama Marzouk this is for you!!!

Dad & Mum Dalilah


Me & ma' best friend ever, love you alll

You Might Also Like

1 comments

  1. Nimefurahi sana kumuona uncle issu jamani ni muda mrefu, bday party was nice and cute, kila la kheri baby dalilah and family

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.