Sada kitchen Party Picha za Kumwaga


BRIDE::Saada Nassor Bonisite

EVENT:: Kitchen Party
DECOR::Mama Gao Decoration
DRESS CODE::Fashionable
Colour:: Light Blue & Gold
ENTERTAINMENT::Melody Band & Rusha Roho
Vijana Social Hall
Caterer: Mariam Twahir
Blogger: Mashughuli – Piga no hii +255753 619 207 kwa kurusha shughuli yako
MC - Jamilla Kitmtim - +255655 374 440 ukimuhitaji piga hiyo no.
Hight table ya Sada
Ilikuwa ukiingia tu ukumbini unasign GUEST BOOK, halafu unapewa mtandio na Glass, unakwenda moja kwa moja kwenye vinywaji unajimiminia Red or White Wine au Beer, unakwenda kukaa na Glass yako tayari umepata kinywaji, na mwisho wa shughuli unaoondoka na glass ni yako.
Napenda kuongelea Guest Book, jamani ni kumbukumbu ya wageni waliohudhuria sherehe ya Sada, maana kuna watu Fulani hivi wa mjini wakaambiwa wasign wakasema sisi sio wageni hata baada ya kujitahidi kuwaelesha lakini walitunyari ile mbaya.
Sada Nassoro BonisiteMC-Jamilla Kitmtim
Mazawadi

Wafanyakazi TBC1 katika pozi na Sada baada ya
kumkabidhi Hot & Cold Water DespenserBibi alikabidhi Mkeka na vitu vya dhahabu..!!
Tanti akimkabidhi Sada Sofa -6Pcs

Mama Mwanaisha akisndikizwa na Situ Mwasu kumkabidhi Saada zawadi Kitanda, Kabati la nguo, Cherehani

CAKE & CHAMPAGNE
Cake ya Sada

Mama akilishwa cake na mwanaye kwa heshima zote

Ma-Wiii wakilishwa cake

Nyota na Sada ndio walifungua champagne
Entertainment: Melody Band Live & Rusha Roho
Kundi zima la Melody Live!!!
Bi Mwanahawa Ally akiimba nyimbo mpya ya taarabu kiboko..!!!
Hafua naye akiimba live


Nyota akiwa kwenye shughuli lazima atuimbie Gere mama, Gere mama unanionea Gere…. Watausaga Mtama wubwie wenyewe…!!
Tanti rusha roho kwa raha zako...!!!
Salma akirusha roho!!

Alyocia Maneno wa TBC1 akitamba na mziki wa injili, "Mungu alinena naye Musa hicho Kiatu Kivueee!!" Hapa wafanyakazi wa TBC1 wakimtunza mwanao Water Denspensar

Huyu alianza hivi….

Akapiga msamba wa nguvu…kuchinei babug chuma chuma dede!
Umetuona????
Caterer-Mariam Twahir
Msosi wa uhakika, maana Mwanaisha Kisoki alihakikisha watu wanatafunatafuna mpaka mwisho wa shughuli, baada tu ya kukaa kwenye kiti unapewa container yenye nyama, baadaye tukapitishiwa fruity cake huku kinywaji kikiendelea, mwisho Menu ya Mariam Twahir si unajua..!! Kama una diet unaweka pembeni kwanza.
Mariam Twahir
Sada akipata chakula chake..!!!

Kufutwa Jasho
MC- Jamilla akimtunza Mwanaisha Kisoki
Mwanaisha Kisoki akimtunza somo Mwanaharusi Kupa (Sharibela)
Husna Madohora na group yake Tanti wakimtunza tanti kwa kwenda mbele..mmh!
Joha Katoboka naye tunza Tanti mipesa kibaooo!
Saida Thabit, rais wa china akimtunza Tanti kama 500,000/= hivi chezea yeye!!

Mwanaisha alianza kumtunza Tanti kwa kumshukuru kuwa naye pamoja kama mzazi katika shughuli hiii ya mwanao Sada

WAPENDANO NDIO HAWA

Tanti Mahela hayoooooo!!! nitakuja home..!!
Tanti akitunzwa na watu mbalimbali, jamani kutunzwa kwa Tanti na yeye ni mtunzaji saaana, maana ilikuwa balaaa..!!, mashughuli.blog pia inamshukuru sana Tanti kwa support kubwa anayotupatia
Red Carpet

Mwanaisha Kisoki & Tanti Boy, Pendeza eeh!

Husna Madohora uko juuuuuuuuuu!!! Ndani ya kimino!!!!


Fatima & Lilly
Mwajuma Sarahani Mchele wako Mrs. Biubwa Original ndani ya Vienna
Leyla Pongwe na MC-Jamila Kitmtim
Tanisa Mwaibula na Saida Thabit-mama wa chiiiiiina
Nyota & Salma
Faces

Mwanaisha Kisoki uko juuu mamaa wa ukwee'e– mama mzazi wa bi Harusi akiuliza kama mambo yanakwenda sawa, mimi namwambie bomba ile mbaya…!!!
Mama Kuyomba pendeza eeh!!!

Somo – Mwanaharusi Kupa


Tutty & Mwajuma Sarahani..!!!
Maunda & friend
Sada na flower girls
Tutty Fruits & Alhanisa Sleyum Zayum mko juuuu….kama muashok....!!!
Madada wa Mujini wa ukwee’e-Tikisaaaaaaa body….!!!!
Dada huyo alinikonga sana moyo wangu ngoja utamuona style zake za kucheza hapana ona sehemu nyingine mmmhhh…!

Mawifi…. Mambo supa!!Mapacha Watatu – mnatisha..!!!

Hafua – wa melody pendeza eeh!


Guu!! Guu!! Mashaallah…!!

Joha Kabotoka – Mfanyabiashara Maarufu wa jiji hili…!!!

Salama Mazrui, Director wa Twins hair Dressing Saloon, mama wa biashara!!! Wanawake na maendeleo tusonge mbele..!!!, kupendeza kama kawaida yake


Mama na Mwana

Mariam Mkweche, pendeza eeh!
My sister from another mother…Luv you pendeza eeh!
Bibi bibi bibi…!!!! Alinikonga sana bibi
Mthungu..!!!

Sittu Mwasu, Somo tena huyoooo na style ya madrassa…lol
Wana Kibao Kata wakiwa mezani


Happy Baghdellah – Somo huyu jamani atakayefundwa nione mama wa shughuli
Swaga za Sada

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. bi harusi simuelewi huo uso alivyopambwa vibay!

    ReplyDelete