NYOTA BIRTHDAY PARTYMwalimua alikuwa mkali kweli kweli

Baby Girl anafuraha baada ya kukata Cake

Najua picha hizi za mwanafunzi zitawashangaza wengi ile mbaya, basi na sisi tulipigwa na butwaa, lakini nilimuuliza Nyota kwa nini aliamua kufanya hivi, alisema yeye ni msanii lazima atoke kisanii idea nzuri sana....tuliendeleza libeneke...!!!Nyota alitaka watu wamuimbie yeye lakini na sisi tulimuomba atuimbie nyimbo moja tu, hapa akituimbia nyimbo kwa feeling sana


Kumbe hata na wewe unaimba? umetushangaza wengi, gud

Esha alimuimbia wimbo special wa mama
Masoud akitnza kwa raha zake!!
ZAWADI'S MADOLARI TU YALITEMBEA..!!
Salma akimtunza best wake..!!

Hawa wote ni watoto wa nyota wakimpa zawadi mama yao kwa kumshukuru na kumuombea dua, ilitulinza jamani..hongera nyota yataka moyo kweli kweli
FACES

Swaga za my lil sister - Joha

Mum & Daughter


Hawa ndio watengeneza kope na kucha pale K-Nyama nyuma ya jengo la sayansi na techn. wana utaaalamu wa kutosha, fika babu upendeza..!!!!!


Sharobaro's, watoto wa nyota

Moi, I & myself


Luv this one smiling face


Sherry with a Friend!


Left: Shariffa, Nyota & Masoud - Picadilly yule mpambaji maarufu na anafanya catering kwa watu wenye kupneda vitu vinzuri
Idrissa


Mashostito, pendeza eeh!


Fashion Designer Shabaani & friend

RED CARPET
Mama's & Son

Pozi pambe eeh!
MOI na wapenzi wangu...Lol!
Nyota na mdogo wake

Shumu vipi tuambie mbona umeshika t....
Eshe anakuambia lilia mvuto na bahati usililie shepu, kwani shepu hata kwa mchina ipo..!!

Fashion Designer Joha Simba pendeza eeh! na Uganda traditional dress!!

Tutty Fruit pendeza kwa kwenda...!!

Umri sio Tija, muangalie Nuru Mwene, pendeza ile mbaya..!!

Faida & Birthday Lady (Nyota)

Kila siku huwa nasema penzi la mama ni la halisi..!!! au kithungu Natural Love, Salama Kessy na mtoto wake Selemani jamani kuhusu huyu kijana nitawaadithia baadaye....! its amazing!!

Mariam & Ashura Macheni, umecheki swaga hizo???

Mariam Mntambo

Bilal Mashauzi with LV Bag

Saida China Pendeza eeh!


Guess Who??

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment: