MAULID YA LUBNAH SAIDY

Sweet Sweet Baby..!!

Baby Lubnah Saidy – mashallah! M/Mungu akukuze Salama Salmini, akuepushe na mabaya yote na uwe motto mwenye akili darasani… dua hiyo by mashughuli…lol

Zawadi hizi ni Pampers lakini zimepangwa kwa ubunifu

Aunty Shumu akimtembeza mtoto baada ya

mama

Aunty Sophy uko juu


La'familia - Blood Sisters

Mashistito walioshibana, mtaisoma kimya kimya..lol chezea wao pendeza kwa kwenda....!!!

Ghaife na Aunty yake kipenzi Sherry Hashim

Mrs. Frisch - Cute eeh!!!


La' familia - Sherry & Mwajey

Da' Sherry na shosti wake, sasa no 1 ni yupi??


Kila jambo kutunzwa lazima kutunzwa bibie au kufutwa jasho!!!zawadi's

Tahiya na mabest friend wake walimtunza da' kei mafdollar ...chezea wao!!!
Guess Who..??!!

Swaga za Ukwee’e

Umecheki hiyo purse..!!


Je bling bling mkononi??


Madini Ya Ukwee’e Na Kiatu Cha Mnyama..!!

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment