MAULID - MAGOMENI
Hawa ndio mapacha Fatmah & Aisha waliofanikisha Maulid magomeni, mie niliweza kuwatofautisha kwa hina tu, kwani mmoja kapaka mwingine hakupaka

MADRSATUL ZILIZOHUDHURIA KATIKA MAULID HAYO
Madrasatul Magomeni Kondoa
Madrasatul kutoka Temeke

MC wa Maulid


CHAKULA


Uswazi wanaita Self Service Menu, Ndizo utumbo kwa Birian


Sally Isaq & Mariam AhmedDada Joha akipiga matwari na madrasatul toka magomeni kondoaWakati wa kufukizwa udi na mirashi

WChakula kilipikwa na Mariam Twahir self Service Menu
Ndizi utumbo na birian la nyama ya ngombe

Wahida

Left:

Niliupenda Mshono

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. Mashaalwah vitu hivi vinaniumiza Roho kwa hakika.Kuna siku nikikaa nasema Yarabii wajaalie wanangu Dini kwani shuleni kwa wanangu ni wao tu na katoto cha kiirani ndo waislamu .kwani nchi za Europe hazina Dini waislamu wengi wao wasomali wairan,waafganistan ,Basi sie tulotoka nchi zisizo vaa hijabu 24 hours wanakuona haramu na wengi wao walotoka TZ Uganda kenya wakifika huku uislamu hakuna kwani kipind cha SOMMER swaumu inaanza saa 8 usiku mpk saa 5 usiku kutokana na jua kuwaka muda mrefe wengi wao wanaacha .
    MOLA AWAZIDISHIE KILA LA KHERI WAPENDWA MUIEDNDELEZE DINI YETU
    NA SIE ATUFUNGULIE MEMA TUWAFUNDISHE WANETU DINI.ISHAALWAH ONE DAY NARUDI KUISHI NYUMBANI NA FAMILY YANGU

    ReplyDelete