Sponsor

Maulid ya Baby Sandra!!!

6:04:00 AM

DAD & MUM OF SANDRA
Wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa Nyembo na Mke wake Rabia kwa kuwapokea pamoja na mwanao Baby Sandra na ushiriakiano mlioutoa kwao katika kufanikisha maulid haya ya Baby Sandra, bila kuchoka hata kidogo milikuwa sote bega kwa bega. Nawaombeeni dua kwa mwenyezi Mungu awazidishie upendo na Baraka katika Familia yenu. Na pia nachukua nafasi kuwashukuru wote waliohudhuria Maulid ya Sandra Mwenyezi Mungu awabariki. Amina
SANDRA
Mwwwaaahh! My Little Baby Sandra!, Mashallah Mwenyezi Mungu akukuze salama salmini..!!!
Dad & Mum!! Wooooh!
La’ Familia!!!
Pacha nakuona…!!
Maalim akisoma duaaa kwa baby Sandra!!
Sandra akipitishwa kwa ndugu jamaa na marafiki baada ya Qiyam na kupewa zawadi!!!
Mashaallah!
Zawadi's
Mama na Mwana raha eeh!
Lovely Couples!!
Mum & Dad na Dada Tabu pendeza eeh!
Pacha inabidi tuambizane na mie nicheke...!!
Pendeza eeh!
Hata ukikaa pozi inapatikana
Red Carpet
Mapozi nimeyakubali......!!! Mnyama huyooo!


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.