Kulikuwa na kibao, Baikoko na Rusha roho, wasichana nawaaminia..!!

Ngoma bila kulewa nitaichezaje mie....vya kumwaga..!


Sehemu ya Mwali..lol
Pendo, really Black is beauty baby!!



Kivazi bomba eeh!

Khadija & Pendo pendeza eeh!

Tahiya (Somo) achezi mbali na mwali wake, Khadija & Pendo

Somo (Tahiya Dawood Mrs.), Pendo & khadija na Najma

Pendo akituonyesha nyonga kidogo kabla ya kukaa, Somo uko juuuuu! tumekubali
Surprise Cake From Mbonie, Mmmh! Sijui niazaje kuelezea cake hii, lakini angalia mwenyewe cake ina shanga…!!


Mbonie akimkabidhi Pendo, na kuielezea cake....b


POZI unaweza pozi?? check this out!!













FACES!
Mwanangema katikati na mashostito





Ghaife & Shariifa, Nguo zote hizo designer Joha Simba, muone akupendezeshe bibi..!

Mashostisto sare imenoga ile mbaya


Ghaife - Dada mfanyabiashara maarufu wa Marekani Pendeza ile mbaya..!!!


Shamimu & Friend, I really like yr Bag lovely

Hawa & Friends

Ghaife & wifi yake Tahiya, pendeza kwa kwenda mbele..!!


My Boss Tindwa in the Town & Bilal Mashauzi!!

Mariam Mntambo na Bega Moja Pendeza eeh!

Hawa & friends

Jasmine always looking Fab!!!

Bilal, Sinta, Friend, TINDWA in the House & Jamila Kitimtim

Hawa & Tahiya (Somo)

Hawa, Pendo & Mboni
HINA-GHAIFE


Hina michoro ya kisudan, Swaga za Ghaife, mwanamke hina lol.. upo hapo!!!, umecheki kiatu???? mie hoi..!
Usemi ni ule ule Mashughuli the source of all shughuli
U'R MOST WELCOME HELLEN!
ReplyDeleteJB