TIMU YA HAREMBEE YA SAIDIA GONGO LA MBOTO (UK) WAKIFUNGA MIZIGO TAYARI KWA KULETWA TANZANIA

Zifuatazo ni Picha za timu ya SAIDIA GONGO LA MBOTO UK wakiandaa na kupakia mizigo kwa ajili ya kusafirishwa kwenda kwa wahangwa Tanzania iliyotowelewa na baadhi ya watanzania Waishio UK.
Timu inawashukuru wale wote ambao waliweza kujitolewa kwa hali na mali kutoa misaada mbali mbali.

Mungu awabariki Watanzania,
Mungu Ibariki Tanzania.

Baadhi ya maboxi yenye vitu mbali mbali vikiwemo nguo, vitabu nk kwa ajili ya wahangwa wa Gongo la Mboto

Frank, Sheila, Tina Na Ben Wakifunga Utepe kwenye Mizigo

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment