MSIBA MSIBA MSIBA

Ina Lillahi Wa Ina Ilayhi Raajioon
(To Allah we belong and unto Him is our return)
Burian Mwanahamis Abdi Mkeyenge (Livingstone Kariakoo)
Kuzaliwa: 15/02/1962
Kufa : 17/03/2011
Burian Mwanahamisi alikuwa mke wa Khamis Ramadhani Kinye, ameacha mume na watoto wa kiume wanne Mshindo, Ramadhani, Hashim & Mwinyijumbe, mwili wa marehemu ulisaliwa katika msikiti wa mtoro kariakoo na kuzikwa makaburi magomeni.
Marehemu (Mwanahamisi Mkeyenge) enzi za uhai wake

Mwili wa marehemu ukitolewa msikiti wa muhimbili

Hawena mdogo wake marehemu akilia kwa uchungu pole mpenzi wetu ni ngumu lakini Mwenyezi Mungu akupe ujasiri


Kushoto: Mshindo - mtoto wa marehemu Mwanahamisi

Bi Saada Brazak yellow dira

Watu wote vilio

Barka ikiandaliwa
Huku jungu likiendelea kipikwa

Mwili ukitoka nyumbani, kuelekea msikitini
Sheikh. Maulid alitangaza jambo kabla ya mwili kuondoka, Abdu kassong naye majonzi makubwa mama yao!

Ndugu, jamma na marafiki wakijitayarisha kubeba mwili wa marehemu mpaka

Retd. Brigadier General S.W. Simba na Abuu Fundi

Mh. diwani Mafish
Bwana Abdallah Hashim


Hawena mdogo wake marehemu akilia kwa uchungu pole mpenzi wetu ni ngumu lakini Mwenyezi Mungu akupe ujasiri

Tatu Lumelenzi alishindwa kwa kabisa kujizuia maskini

Mwili wa marehemu ukitoka nyumbani kuelekea msikini kwa ajili ya kuswaliwa.

Mtoto wa marehemu mwenye brown Tshirt

Mtoto wa marehemu aliyeshikiwaWatu wakitawadha kwa jili ya swala msikiti wa mtoro


Mwili uko tayari kwa ajili ya kuswaliwa msikiti wa Mtoro

Right: Mh. LondaBro! Omary na kanzu ya cream

Mh. Zungu Mbunge wa Ilala
Vijana wa Tandamti/Livingstone Kariakoo hongereni kwa umoja wenu

Tayari kwa kuupokea mwili white tishirt mume wa marehemu, & Black mtoto wa marehemu

Hapa ndio mwisho wa kila kitu kama mwanadamu!

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments: