Mohamed's Bag Party, Viwanja vya Karimjee Hall, 05-03-2011

MC yule yule wa mjini Jamila kitmtim(JK) funika bovuuu!!!, kama kawaida yake ukimtaki piga simu 0655426100


Kadi ya Mualiko

Mohamed S. Madenge

Full Squard

Mohamed na mpambe wake

sasambua ya sanduku la mama, nguo za kuvaa mwaka mmoja bila kurudia

ZAWADI ZA TANTI BOY

4-Plates Gas Oven Cooker
Water Despenser

Shelf ya viatu alitoa aunty mmoja hivi

Nguo hizi ni za siku ya ndoa sasa sijui kapewa 2
ili achague au atavaa na kubadilisha!

Zawadi za mama, seti ya chumbani kitanda kabati la nguo! bado kuna sanduku lol!!!

Zawadi ya dada Husna, Sitting room set+Home Thearter

Zawadi ya kamati

Zawadi ya Husna Madohora na Husna Wazir
KAMATI IKATOA UTAMBULISHO NA KUKARIBISHA WAGENI
Mwenyekiti wa kamati akiwakaribsha wageni waalikwa

Suprise Cake kutoka ka Mboni
umeiona cake lakini??????
Mohamed akipata maelezo ya cake toka kwa dada yake mmhh!!
Alipewa ruksa ya kuchagua kumlisha ampendaye naye alimchagua dada yake
Rusha Roho Babu!!!!
Nyota akiimba

Kila mtu alinyanyuka juu ya kitu baada ya kusikia Gere mama gere mama wananionea gere..... wataulamba mtama.....!!!!Tanti akitunzwa million moja na Husna na mama yake, shukrani yao!


Mrs. Salum Madenge-Mama wa Mohamed

Kushoto: Mke wa Waziri Bilal, Zainabu Vulu & Mke wa Bilal
Awena unapenda raha eeh!


My sister frm another mother, I really like her, she is cool

Cool Gal
My New Friends!

Tanisa Mwaibabula, Tanti Boy & Friend

Nuru Mwene, Jamila & Fadya


JK & Sittu Mwasi


Nanah & Friends (Wadau wa Mashughuli)

Mohamed na Dada yakeTanti Boy - Somo na Mwenyekiti wa Kamati akiweko yeye mambo uenda sawa, pia ni designer wa nguo za kike


Suprise Nyota ndani ya nyumba mambo ya Tanti hayooo!

Miriam Aziz


Husna Madohora si unajua swaga zake katika kutunza? subiri uone picha

Shamimu looking Mwaah!

Mboni Masimba mmoja wa wanakamati, ilikuwa nzuri sana stay tune

Fashion Designer Bahiya akiingia ukumbini
My Girl NanahVero-Mkuregenzi wa VERO SALOON, kama nywele zako
zina matatizo muone bi dada, kupendeza kwake lazima
Bye Bye Bwana Mohamed tutaonana kwenye singo!!!

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. Naomba kuuliza, sasa huyu kaka anaowa ama anafanyiwa bag party ya nini?.

  ReplyDelete
 2. Mwenzetu tudodesee, huyu mtoto ni pekee au pekee wa kiume? Mbona zawadi kitimtim?

  ReplyDelete
 3. Hongera sana mody! Nakutakia maisha mema ya ndoa na mtangulize Mungu katika ndoa yako atakushindia magumu yote ya dunia hii.

  ReplyDelete
 4. shughuli nzuri saana, anayeolewa atakuja na vitu tena balaa.. au ndo akifukuzwa niachie vitu vyangu.. nice shughuli

  ReplyDelete