MOHAMED & SHARIFA WEDDING RECEPTION

Event : Wedding Reception
Venue : Diamond VIP Hall
MC : LUVANDA -0754/0715-088461 E: luvanda2012@yahoo.com
Music : Respect Djs
Band : Mark Band Live
Decoration : Faizana Deco.
Drink Supplies:Lekowi General supply & Bevarage Services
Bridal Saloon: Maaznat Bridal Care
Blogger : mashughuli.blogspot.com (+0655-426100) calls us on any event!!


The Only & One MC Luvanda, kwa kweli ngoja nimpe sifa zake huyu kijana anafanya kazi yake kama ratiba inavyomtaka mambo yalikwenda kwa wakati, Basi walipata muda wa kucheza mziki kama unavyojua raha ya sherehe ni kuserbuka babu..
Contact zake ni 0754/0715 088461 email: http://luvanda2012@yahoo.com/


Gari la maarusi upo hapo!!!


Kamati ya maandalizi ilikuwa ni vijana wengi wao wamesoma pamoja Forodhani, noa pia waliwakabidhi maarusi shs. 2,000,000/= kwa ajili ya honey moon.
Ukumbini, pendeza eeh!

Bendi ya Mark bendi ndio waliotupa raha ya ukwee'e

Hii ni menu ya Drinks ambazo zinapatikana katika sherehe hiyo, hii ni nzuri kwa sbb hata kama kusoma hujui basi utaonyesha picha ya chupa...contact zao zinapataikana hapo ni supplies wa vivywaji vya aina zote
Invitation card ilikuwa simple but expensive!

Wapambe!!!!

Couples Of the year!


CakeChampaignCheers!!

Napenda kuawafamisha sasa tunapiga BW picha au Black&White!! contact +0655426100 kurusha shughuli yako hewani!, umefanya nini tuite sisi tutaufahamisha ulimwengu!!
Maarusi nao wakicheers na ndg, jamaa na marafiki
Mr & Mrs Madenge!


Zawadi’s
Wafanyakazi wa Mr. Mohamed wikimkabidhi "FLAT SCREEN SONY BRAVIA"

Mzee Madenge akimkabidhi zawadi ndogo
maarusi Kiwanja cha kujenga Kibaha
muziki
Watu walicheza kwa furaha pamoja na maarusi wao! Kutokana na ratiba kufuatwa basi muda wa kurusha roho ulipatika wa kutosha, kwa kweli hii harusi it was best of the Besto!
Mduara-tucheze mke wangu!!

Tanti wa ukwee'e akicheza kwa raha zake!Barnaba & Steve wa Clouds TV 69 Records, wakiwaimbia maarusi je wew ushawahi kubembelezwa, nadhani Mohamedi anaipenda sana hii nyimbo

Sharifa & Mohamed wakicheza single ya barnaba

je wewe ushawahi kubembelezwa

Kiti hiki kiliwekwa special kwa ajili ya nyonga upo hapo!!!

Haya sasa twende! twende! mpaka chini..!!
RED CARPET
Red carpet hii ilinifurahissha sana kwani nilipata mpaka wanaume wakiopendeza kweli kweli suti za uhakika

Mwenyekiti wa kamati- mambo yalikuwa manzuri sana!!
Single,Handsome & Educated men available plse contact Mashughuli...Lool! Umewacheki wametoka chicha ile mbaya!!
Kila mtu alikuwa na raha kwani harusi ilipangwa na kupangika

Pozi Kali ile mbaya!


Mr & Mrs Aziz (Captain) & Mr. Madenge
Husna Madohora looking Fab!

Tanti-Boy wa ukwee’e, pendeza yeye!

Husna & Friend


FACES
Wakwe wakiingia ukumbiniLovely Couples Mr & Mrs Aziz (Captain)

Miriam Aziz & Miriam (mtoto wa wifiye)

Moi & Nanah, baada ya kazi kubwa..lol
MADINI MADINI YA UKWEE’E

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. shughuli nzuri toka begi party kweli wanandugu mlijipanga, mohd ishi vema na mkeo ili muwaletee matunda mr and mrs madenge(wajukuu). big up to mashughuli kwa kuleta vitu vya uhakika.upo juu mamaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete