Sponsor

STYLE MOTO MOTO!!! USHAPATA KADI YAKO?? IJUMAA 25-FEB-11 DOUBLE TREE BY HILTON

10:32:00 PM


TANZANIA MITINDO HOUSE INAKULETEA STYLE MOTO MOTO
ONYESHO LA MAVAZI YA MBUNIFU JAMILA SWAI AKISINDIKIZWA NA BINTI AFRIKA, KIM DEAN NA FRANKO DESIGNS
TAREHE 25 MWEZI WA PILI 2011 KATIKA HOTELI YA DOUBLE TREE BY HILTON
KIINGILIO NI KWA MUALIKO TU
VILE VILE KUTAKUWA NA MAUZO YA JEWELERY, VIATU, COSMETICS, HANDBAGS KUTOKA KWA UNIQUE PEARL COLLECTION, MIMI’S COLLECTION, JACKYZ COSMETICS NA AMINA DESIGN
PIA NGUO ZA WABUNIFU WA HAPA NYUMBANI ZITAUZWA
STYLE MOTO MOTO INADHAMINIWA NA VODACOM TANZANIA LTD,I VIEW MEDIA,QUICK PRINT,EVENTLITES,VAYLE SPRINGS LTD NA DOUBLE TREE BY HILTONIYOOOOOOOOOOO.......mtoto wa kike Shopping BibSHOST HAKUNA KIINGILIO WALA MCHANGOOO HAPA UNACHOTAKIWA NI WEWE KUBEBA WALLET YAKO MARIDADI NA KISHA UNUNUE VITU KAMA MAPAMBAPO,,,,,,VIPODOZI NA ACCESORIES KUTOKA KWA WAUZAJI MAARUFU HAPA MJINIII......ENDELEA KUZURU BLOGUNI UTAONA VITAKAVYOKUWEPO MAUZONI SIKU IYOOOOOOOOOOO.......mtoto wa kike Shopping Bibi

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.