SHARIFA KAVU AFIWA NA BIBI YAKE, BI TATU ATHUMAN, TAREHE 19-02-2010

BAADAYE MWALI WA SHARIFA KAVU, KHADIJA KWA KUSHIRIKIANA NA
FAMILIA YAKE (MNTAMBO) ALIPELEKA SINIA NA KUWAKOSHA WAFIWA


Khadija akimkabidhi somo shuka na mto wa kulalia, je unaijua hii???

khanga, kitenge na dira upo hapo?

Mama Salma Mntambo na Wafiwa, hakika mama Salma
aliwapa maneno manzuri ya kuwafariji wafiwa

Khadija akimpa pole Saada ndugu yake Sharifa

Mariam & Jasmine (Jazz)


Marima naye akitoa pole lwa Saada

Hili ndio Sinia

Mwali kwa unyenyekevu akiwahudumia wafiwa, inapendeza eeh!

Zuhura & Sabrina

Hatimaye Sharifa aliweza kula japo kidogo, ngumu jamani msiba ukikufika

Mntambo la familiaBAADAYE MWALI WA SHARIFA KAVU, KHADIJA KWA KUSHIRIKIANA NA
FAMILIA YAKE (MNTAMBO) ALIPELEKA SINIA NA KUWAKOSHA WAFIWA
Sharifa Kavu katika majonzi pole rafiki yetu!!

Saada pole

Mariam mntambo akihakikisha mambo yote yanakwenda sawa

Hadija akipokea dua toka kwa maalim

Fatmah Kimario, Happy & Friend

Wanaume baada ya kurudi kuzika


Shosti na dada yake mpya wa hiyari

Maunda

Dua


Mntambo's Family walitoa ushirikiano wa dhati kabisa

Hadija na Mama


Husna, Jamila Kitmtim (JK), Happy Baghdela, Tunu Sagaaf & Salama Marzuk

My sis- Fatmah Kimario


mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment