KITCHEN PARTY YA SALAMA MINDU - VIJANA SOCIAL HALL

BRIDE::SALAMA MINDU
VENUE::VIJANA SOCIAL HALL – KINONDONI
COLOR::APPLE GREEN & PINK
MC::JAMILA KITIMTIM (JK)
DESIGNER:: BAHIYA LUMELEZI
BLOGGERS: MASHUGHULI & 8020 (Tunawakilisha)


Mkia kwa nyuma ya nguo


Salama na Designer wa Nguo hii Bahiya Lumelezi
Cake, Kinu na Mtwangio bibie upo!! Siku hizi kila kitu ni B2A!!

The one & Only MC wa Mujini JK,
ukimtaka piga simu hii +0655-426100
Hareharehareeeeeeeee!! teeeenaZAWADI ZA SALAMA


Salama akikabidhiwa zawadi zake

Letoya akitoa zawadi
Muna na Mashostito walimkabidhi Home Theatre,
si unajua tena mambo ya ma' gals

Mama Shariffa alikabidhi kabati la vyombo
na mazagazaga mengine ya jikoni

Masomo wakikabidhi mazagazaga ya jikoni

Wana kikundi wakikabidhi Dinning Table

Akikabidhiwa Sitting room yake

RUSHA ROHO!!!

Mama kwa furaha akicheza!

Watu wa wakirusha roho!!

Mashostito!

Sharifa akitunza!

RED CARPETMuna & FreindTanisa

Ma'girls rocks the style

Letoya


Muna & Friend


Da Sherry Nga'ri Nga'ri
Muna looking Fab with green Apple!

Fashion Designer Simba


Supriseeeeeeeeeee Bwana Harusi Mtarajiwa in the House!!PICHA MBALIMBALI ZA WAGENI WAALIKWA
Mama Shariffa Mindu (mzazi)


Joha & Sharrifa

Mnyama kachomoza!! hakosekani??


Nga'ri nga'ri wana kikundi na sare yenu!!!

Mie hii niliipenda!!!!

Hidaya nimeambiwa this is special for u
Somo!


Sisters
mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. mbona wamama wengi katika shughuli wanakuwa wamejichubuwa sana nahizo poda wanazoweka haziendani na rangi zao kama wanajichora halafu katka shughuli nyingi unazoweka watu niwalewale tu wakarikaoo hauendi kwingine tukaona sura mpya dada nanyingi niwatu wazimaa mm mama silva

    ReplyDelete