KITCHEN PARTY YA HUSNA WAZIR, IMEFUNIKA ILE MBAYA!

VENUE : VIJANA SOCIAL HALL
ENTERTAINMENT: RUSHA ROHO
DESIGNER : BAHIYA LUMELEZI (Nguo ya bi harusi)
COLOR : PINK & GREEN (Apple Green)
DATE : 11-FEB-2011

Bilal & Blood Sisters!!!

Tanti Boy, designer maarufu akitunza!!

Husna alialisindikizwa na umati wa watu,!!!! mashostito kibao!!

Husna alikuwa na furaha sana

Hii ni set ya ukumbini ambayo Husna alkuwa na furaha sanaMadohora alimpa rafiki ndugu,
set ya makochi, cofee table, flat screen ya ukweeeh & TV unit

Kwa raha zao mashostito!!!

Furaha iliyojee???


Bi Harusi amepigaa magoto kupokewa zawadi ya somo vitu vya jikoni, kumbe watu wanafundwa mpaka adabu na heshima?, Happy Baghdera nitakutafuta nikupe mwali!

masomo wakiingia kwa raha zaoShariffa Kavu na Madini Ya Ukweeeh!!!

Swaga za Mariam Mntambo uko juu!!!
Mama Salama Marzuk Madini Ya Ukweeeh!!!Sharifa Kavu shurti kwa sare 2 babu!!!


Salama, Angel & Bahiya
Nanah & Arafa Pendeza weye
Bahiya & Shabby the Professional Designers

Kila siku naongeza idadi ya marafiki
na kupunguza maadui eeh! Mola niwezeshe, a new friend of mine

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment