HUSNA MADOHORA NA MARAFIKI ZAKE WAMFANYIA SINGO RAFIKI YA MPENDWA HUSNA WAZIR, BALAAA TUPU WATOTO WA MJINI WAKITAKA LAO HUWAWEZI!!

VENUE : VATICAN-SINZA
ENTERTAINMENT: KIBAO KATA
DESIGNER : BAHIYA LUMELEZI
COLOR : SILVER & BLACK
THEME : MWANAMKE NYONGA
ORGANISER: HUSNA MADOHORA, SHARIFA KAVU, SHANI & ASHURA
DATE : 06-FEB-2011

SWAGA ZA MWALI NA SOMO!RED CARPET!Mwanabibi hii ni ya kwako!!!

Umecheki mshono?
Mashauzi Family


Mariam & Tindwa with animal print..!! I love it


Wifi's


Husna & Nanah


Egla Uisso na Husna


Salama, Tunu Sagaaf & FriendMADINI! MADINI YA UKWELI HUSNA


Watu kwa raha zao Mariam Mntambo
na Mwanaidi pendeza sana!!

Supu na Bites by Sharifa Kavu Caterer
mpe order tu, supu ya motomoto


Uji wa kunguMWALI NA SOMO ONYESHA UFUNDIBilal akicheza!


Shariffa Kavu akichezee kibao kata si unajua kinavyonoga!
Mfichueni Mwali sasa…Somo Happy Baghdellah akimuingiza mwali ukumbini

Sharifa Kavu akiongoza msafari

MC Jamila akimuuingiza mwali ukumbini kwa style ya kipekee,
ukimtaka Jamila piga simu no 0655-426100

Hasina & Friends


Mashostito

Shida!
Wifi's


Right: Egla Uisso, mama wa kuruka anga to anga with a friend ( wifi's)


Sharifa Kavu, Husna Madohora & Bahiya Lumelenzi

Harerearereeeeeeeeeeeee: MC wa mjini Jamila Kitimtim
The Only One akicheza na mike utampenda!!!

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. Santaa Helen nimepata salama zako na picha nimeipenda ya bi Bahi na da T. Naona umerudi kivingine sawasawa mama mashughui,, KEEP IT UP..

    ReplyDelete