FAMILIA YA BI MARIAMU BEST MAYAI (MRS BEKA MAYAI WA KARIAKOO, WAMFANYIA KITCHEN PARTY - MOSI MAGOMA

BRIDE :Mosi Magoma
VENUE :Sterrio – Kinondoni

COLOR :Purple
MC : Dalila Jaggar
Date : 05-Feb-2010
Blogger : Mashughuli.blogspot.com (Aunty Hellen)Ukumbi


Mosi Magoma


Pendeza eeh!


kwa nyuma!

ZAWADI zilikuwa nyingi sana hizi ni baadhi tuFatuma Janguo - Pendeza sana!, Zeze Madini
ya ukweli sikuyapata vinzuri

Sittu Mwasi - Mwenyekiti wa Serikali za mtaa Ilala Bungoni, na MC wa Nguvu Jamila Kitmtim kwake yeye hakiaribiki kitu!

Somo Pili, Bahiya & Salama
Mwanaidi & Salama mashostito!

Black is Beuty-kuona rangi hii kwenye
shughuli hadimu kweli kweli

Fatuma Kibao - msasambuaji maarufa, kiuno bila mfupa anasasambua mpaka mascut, ukimtaka akusasambulie piga simu blog hii ya mashughuli


Dalila Jaggar na Mrs. Mariamu Best

Mnyama Kachomoza-Bahiya na Tanti pendeza nyie!
jamani BONGO NEW YORK, raha kwa kwenda mbele!!!

MC - Mkongwe Numbari Oni Mamaa Dalila JaggarSomo Halima Mtoto wa Pili Abed wa Sikukuu Karikoo,
akimkabidhi zawadi mwali wake!

Mwajuma Lumelezi na Mwanaidi Ramadhani,
wenye mji wao watoto wa karikaoo.

Tunza ya Salama Marzouk akisindikizwa na wapambe wake! msimbazi kwa wingi....!!!
Tamba dada kwa raha zako!

Wapambe!!!


Tanti - Somo asiye mpinzani, wa Kimataifa ana wali kila nchi-shine like a STAR, Kufulia kwake ndoto!!!
Kwa raha zao babu, anayekupenda na wewe mpende!!

Msimbazi zikitolewa moja baada ya nyingine! ukimgeza utajimaskinisha!!!!MOI - Na familia ya wenye shughuli, heshima kubwa
Swaga za Eshe Mashauzi!!! Kaliiii ile Mbaya
Kila mtu na Shostito Babu! Sittu Mwasi - Mwenyekiti wa Serikali za mtaa Ilala Bungoni

Designer Bahiya kaguswa na
nyimbo ya Eshe Mashauzi kenda tunza bibi!

La' Familia - Lumelenzi's

Simple Pozi
MAKE-UP ZA UKWELI WADOGO ZANGU!

MIE NILIPENDA SANA HINA

MASHOSTITO

MC WA NGUVU JAMILA KITMTIM NA SALAMA MARZOUK!

Da Sherry a.k.a Jirani, Salimia mm huko Mwanaidi & Salama a.k.a
Tajiri mwenye maghorofa Karikaoo - watajibeba this time!!

MOI & SIHABA JUMA

mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. Asalaam aleyku mama mashughuli, hongera sana kwa kazi zako nazipenda sana ila nachoshindwa kuelewa ni hivi hizi make up wanaojipamba nazo watu kwenye shughuli inakuwa hawaoni, wamejipamba wakati umeme umekatika au ni CAMERA yako inafanya watu waonekane wamepaka MAKE UP Nyingi sana , mfano mdogo watu wote kwenye hii shughuli wamependeza ila kwa mtazamo wangu make up zao zimewafanya waonekane wanatisha( samahanini) kuambizana kupo na especially kama una upenzi unaemkosoa, sisemi kwa ubaya ila its too much. kama ni camera yako rekebisha settings kama vinginevyo sijui itakuwaje


    Wako mpenda maendeleo ya watu wa Kariakoo kutoka mtaa wa mafia no..

    ReplyDelete