Sponsor

KITCHEN PARTY YA SARAH W NYALLANDU

2:57:00 AM

Kitchen party: Sarah Nyallandu
Venue: : Msasani Beach hall
Date : 17-Dec-2010
Colour : Brown & White
MC : MarcelinaSarah Nyallandu akiingia kwenye ukumbi, kitchen
party hii iliandiliwa kiafrika zaidi, kama mnavyoona mnyama wa zeze anagara!!


Sehemu ya maarusi

Nje ya ukumbi nyungo!!!

Sarah na mpambe wake Jane Madillu

Wakisimama kuwasalimia wagen waalikwa


Mama Nyallandu akiwasalimia wageni

Mum & Daughter Fanana nyie!


Watu wakiserebuka kwa raha zao!
Add Image
The Only & One MC-Marcelina


Champagne za kumwaga!

Cheers!!!

Cake ya vikombe!

Sarah akiwa na raha ndugu na marafiki

Msosi wa nguvu

Sarah akimpa mama yake zawadi

Watu na zawadi zao

Cute Sarah!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.