URBAN PULSE YATUTAKIA FURAHA YA SIKUKUU YA NOELI NA MWAKA MPYA


Salaam,

Utawala wa URBAN PULSE CREATIVE MEDIA unapenda kuwatakia wadau wote pale walipo x-mas njema na  kheri ya mwaka mpya 2011. Pia tunapenda kutoa Shukrani zetu kwa wadau wote waliotupa support ya namna moja au nyingine  pamoja na kutoa comments mbalimbali kuhusiana na kazi zetu. 


Mbali na hapo hatuwezi kusahau kutoa shukrani za pekee kwa Bloggers wote ambao wametusaidia kurusha kazi zetu ukianzia na Ankal MICHUZI,JIACHIE,MISS JESTINA,DJ CHOKA,TZ UK, HAKI NGOWI,GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO,KULIKONI UGHAIBUNI,HUNGA,MASHUGHULI,KANUMBA,RAY THE GREATEST ,JENGATZ,MASHUGHULI,TA READING,BONGO CELEBRITY,MJENGWA,MTAA KWA MTAA,BONGO WIKEND
 TV & RADIO STATION  zikiwepo BBC, BEN TV, BET,MTVBASE,AILTV, PRESENTERS: SPORAH, FRED MTOI na Fred Macha, wadhamini  wetu kampuni,ASET(ASHA BARAKA & BARAKA MSILWA) na mwisho kabisa  Ubalozi wetu wa Tanzania hapa UK Pamoja na staff wote.
Hivyo basi tunawomba mkae tayari kupokea mwaka mpya 2011 na programme za  ukweli na kusisimua  kutoka URBAN PULSE CREATIVE MEDIA.
ASANTENI,
URBAN PULSE CREATIVE MEDIA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

1 comment:

  1. huyu dada picha ya juu apunguze nyama kapata ziwa la pili

    ReplyDelete