UNENE NI TATIZO SANA KWETU KINA MAMA, NGUO HAIKAI, UCHOVU MWINGI....


Ebu nione hapa nikiwa na Marehemu Shemeji yangu kushoto Mzee Simba, Mzee alikuwa na roho nzuri sana, R.I.P Mzee Simba, lovely eeh!! lakini size 10? hiyo haiwezekani kurudi labda nifungwe ukonga!! miaka miwili tu na nikitoka mashavu yameshuka kwi! kwi!


Mnakumbuka kitchen party ya Irean? Mtoto wa Aunty Hidaya Kazirahabi, ilikuwa nzuri sana, but I didn't like myself at all, nilikuwa mvivu sasa nimeanza kazi.....!


Mimi na mdogo wangu Shamimu, I really love her cause she is very helpful, at least hapa kuna afadhali kidogo, I don't know why? maybe kitenge kinafanya uonekane mnene Zaidi!!Me & mdogo wangu, miss you & yr husband a lot, I really love you guys, Wekerakao Shauri yao but you will still  No. 1 to me, haya upande wa pili sana hii nguo imekaaje? lazima nipungue wadau!


UNENE

Ebu angalia nguo zote hapo zilivyonikaa hata kupendeza tena hakuna kabisa, sasa nimegundua siri moja ya kupunguza uzito kwa sasa hivi nimeanza dozi ni kwa siku 14 tu, kwa kweli inafanya kazi nimetoa picha hizi ili nikija kutoa picha current one muone tofauti, na siyo kwamba nataka kukonda ili niwe kama enzi usichana hapana, na kitu kingine ni kuachana kabisa na alcohol, kunywa maji mengi, uwe ni nidhamu ya kula, namkumbuka Charles Mbowe alikuwa anatuambia wembamba unataka adabu na nidhamu ya kula!! Stay tune leo ni siku 2 after 14 days let see, nimesahau ni herbal na ina flush out all uchafu wote uliokuwa mwilini. Nina rafiki yangu jamani she was cute, akivaa nguo utamtamani but alivyonenepa??? inabidi shosti uje kwangu...., i know you know yourself.


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. jamani naomba unisaidie maana mm nimekuwa mnene hat unitamani tumbo kule na maziwa hayo nisaidie nami nipate japo raha ya nguo siwezi kuvaa nguo ya usiku hata siku moja mimi kila siku vitenge naomba contact zako please mm Muathirika wa unene

  ReplyDelete
 2. USIJALI MPENZI. CHAMUHIMU UMEJUA UNENE SIO AFYA NJEMA SISI TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA JITIHADA ZAKO ZA KUANGALIA AFYA YAKO KWANI TUNAKUPENDA NA BADO TUNAKUHITAJI SANA. MM NA MKE WANGU WE LOVE U NO MATTER. WHAT THEY SAY WE DON'T REALY CARE. WE WILL ALWAYS LOVE U, LET THEM TALK COUSE THEY WANT TO. WE CAN'T STOP THEM! ONE THING U HAVE TO KNOW!!!! WATU WANAWEZA KUKUCHUKIA BILA SABABU HATA KAMA HAWAKUJUI NA MM JB NA BAHATI HIYO HIVYO USIJALI MPENZI.

  ReplyDelete
 3. Jamani kama hadithi au ndoto, au harusi imekufanya upange mkakati mpya? Tunakusubiri kwa hamu tujifunze kuoka kwako jinsi ya kupungua ghafla.

  Mama Cossy

  ReplyDelete
 4. aaahhh da hellen wee, enzi zako pale upanga nilikua nakuadmire mpaka basi, utapungua tu mamii, ol the best.

  ReplyDelete
 5. Asanteni wapenzi waday wangu, Mama Cossy nimekupata kwi kwi nimechaka sana, sio kweli bwana ninataka kupungua tu dada yangu unene sio mnzuri my dear, nina kg 96

  ReplyDelete
 6. Mm bwan nimekonda ila uso haukondi mashavu hayo uso umejaa nifanyeje ukae smart jaman

  ReplyDelete