RAMSA NYUMBANI KWA BIJOHA SIMBA KWA RAHA ZETU!!!-BAIKOKO NA RUSHA ROHO

Dada huyoo akicheza mwenyewe

Je unawajua BAIKOKO?Huyu kijana ni hatari tupu!, kumbe Baikoko 
viko vikundi vingi lakini hawa ni kiboko
Mgema & Mlekwa rusha roho! Mziki mkubwa!


Aunty Zahra & Mariam

Kati: Mwajey Selemani na marafikiLeft: Hidaya Mchowele na Salama Marzouk, watu walipendeza sana na sare ilinoga

Zahra & Afsa

Alhanisa Sleyum wa Zayum pendeza saaaana! my orgenizer 
akiweko akiharibiki kitu bwana mashallah!!!

Mwajuma Sarahani, Mwanaidi & Salama

Sharrifa Hashimu & Salama Kingui-mashosti walioshibanaMdeki & friend

Rehema

Sare ya Green: Nyota na Salama Kessy

Masika & Sauda

Lady Hanifa wa ITV/Redio One unatisha shoga

Left: Nuru Mwene & Nuru

Nuru Mwene & friend

Tatu Lumelezi & friend

Eshe - red dira 7 friend


Fatmah & JenipharMy Best Sisters-Farida Simba & Mwanaisha me luv you!

Dalila & Friend
Salma Mntambo na Amne

Mariam Mkweche & Mwanaisha

Shoga Fatmah Shafii

Right: Halima Kamusi kila nikimuona kapendeza sana & friend

My Cute-Hanifa Lov you always!

Mrs. Tahiya dawood & friend

Shella & Aunty Hidaya

Mwajey & Sauda

Shumu & Tanisa

Shida unatisha my friend pendeza sana!!

Supu
Baadaye tulipewa supu ya kuku moto moto ndizi 
na chapati tushibe tucheze vinzuri

Mama nataka baikoko mie kwa raha zao!
Family Photos!Washikaji wa tandamti

My Only Red Carpet of Me!!!


 Moi-hoi bin taabani
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

9 comments:

 1. PICHA NI NZURI SANA ILA NAOMBA NISAIDIEN NI MEK UP WANAWEKA SANA AU USIKU WATU WAMECHOKA SANA BAADHI YA WATU MEK UP KAMA ZIMEBANDIKWA AU MIMI NI MSHAMBA KWELI TUWE WA KWELI MEK UP SIJAPENDA.

  ReplyDelete
 2. Mdau hata mimi hilo nimeliona unajua tunatakiwa kuwa makini sana kwenye make-up ukipaka make ambayo siyo rangu yako basi kwenye picha inaonekana, sio picha zote zingine ziko nzuri tu kwa hiyo cha muhimu ni kuwa makini na foundation tunazopakaa asante mdau

  ReplyDelete
 3. EEEh dada Joha jina kubwa lazima mambo yako yawe makubwa, sare imeshaine ile mbaya

  ReplyDelete
 4. Shughuli watu na watu kibao!mmependeza.

  ReplyDelete
 5. Jamani wengine tumepitwa na hili neno RAMSA ndo shughuli ya aina gani. nimefurahi nimewaona watu wa kariakoo da mwanaisha amenenepa sanaa ila kisura bado kinadai, bi hanifa ibrahim nimekupenda pia uko juu.

  ReplyDelete
 6. kwani ilikuwa nini maana hata bi harusi haonekani

  ReplyDelete
 7. da Joha mmependeza sana.Nimefurahi kuona madada ,marafiki na watoto wa mjini.wahida nimefurahi kukuona,Mamy umekua mwanangu,fatuma wa da Mariam(RIP)mmependeza hongera da Joha kwa ulezi mwema.Una roho safi sana.Mola akuzidishie.Na Aisha sura yako supa yaani baby face.Mie aunty wa Norway.

  ReplyDelete
 8. Tandamti oyeeeee hiyooo!
  nawaona majirani wema wa zamani jamani wa kumwaga mpaka roho inasuuzika na moyo unafurahika nikikumbuka home sweet home nilikokulia.
  athumani mapepe nakuona siku hizi unaitwa mgema?
  na mlekwa nae yupo bongo?
  tatu na mdanganye nao ndani ya nyumba!
  mwajuma simba na fatuma na nyie mmekimbia baridi siyo?
  nimefurahi pia kumuona bibi yake fatuma mashaallah mungu ampe afya njema na nguvu, amina.
  mwansafari nimesoma na wewe chuoni namwona na da mtoro na mdogo wako hapo.
  vipi helen na wewe umekaa tandamti nini mbona kama nakukumbuka? sina hakika.

  ReplyDelete
 9. Bi mashughuli.....HELLEN, Tafadhali naomba contact ya ALIYAH The LAdy From Holland....You must be having it for sure!....

  ReplyDelete