MAMBO YAMEIVA RED RIBBON FASHION SHOW

BALOZI WA TANZANIA MITINDO HOUSE 'TMH' FLAVIANA MATATA AKIWA  PAMOJA NA WATOTO WA TANZANIA MITINDO HOUSE 'TMH' AMBAO HAO NDO HASA WANATUKUTANISHA KESHO DOUBLE TREE HOTEL KATIKA HARAMBEE LA KUWACHANGIA WAPATE GARI.....KATIKA TUKIO  LA RED RIBBON FASHION SHOW, AMBAPO KUTAKUWA NA FASHION SHOW PAMOJA NA DINNER SAMBAMBA NA MNADA AMBAO UTAFANYWA MAHSUSI KWA AJILI YA KUCHANGIA PESA AMBAZO ZITANUNULIA GARI LA WATOTO WA TMH.

KUPATA TIKETI PIGA NAMBA +255784 418941 MWISHO SAA 4 ASUBUHI TAREHE 23 DESEMBA.

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. Mashughuhuli sasa umezidi, kila siku shughuli za kariakoo? tumechoka hebu tuletee vitu tofauti tumechoka kuona sura hizohizo kila siku. kama huna jingine funga hii blog. mbona wenzako kina zeze, jide na wengine wengi wanaleta vitu vipya kila siku wewe ni shughuli za kariakoo tu tumechoka khaaaa!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. kama umechoka ipotozee tu, wako wanaoipenda blog hii

    ReplyDelete