MNUSO WA KUMPONGEZA RAISI JK


Spotted Fatmah Simba Akiingia viwanja vya Ikulu - Looking lovely dadaMama Mashughuli mkono kwa mkono na Salma Kikiwete nikitoa pongezi zangu


Frm L: Dotto Maganga, Joha Simba, Fatmah Simba na Fatmah Shaffii
Bijoha kafanya kazi kubwa wakati kampeni mpaka ushindi umepatikanaRukia Masasi akimpongeza mama Salma KikweteFatmah & friendFatmah,Balozi Idd & Joha, Fatmah Shafii


FrmL: Unknown, Sophia, Shose na Mwavita


Mama Rwakatare na Joha SimbaRais wetu na watu wake


Mama Regina Lowassa

Dotto Maganga na Dotto Omary

SAMAHANI WADAU PICHA NYINGI ZIMEPOTEA 
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

13 comments:

 1. Your blog is good somehow, but needs a lot of work.

  ReplyDelete
 2. THANKS EVER SOO MUCH HELLEN! WHAT A PARTY. ALL OF U HAVE A REALY GOOD TIME. THANKS FOR SALAAM FROM SISTER KAHENGA AND WE SAY HI BACK TO HAR. LOT'S OF LOVE. JB AND AISHA.

  ReplyDelete
 3. BII DADA MAMBO SI HAYO TUNGEPONEA WAPI SIE?ASANTE KWA PICHA MLIPENDEZA SANA NA MUNGU AWAJAALIE MSHIKANE HIVYO HIVYO.DADANGU KUMBE MTU MKUBWA HADI IKULU UNAFIKA NILIKUWA SIJUI MIE MDOGO WAKO.MASHUGHULI IKO JUUU.

  ReplyDelete
 4. Anonymous hapo asante sana kwa kunipa pongezi kwani ni faraja kubwa sana kwangu, nimependa ushauri wako lakini umeandika kwa kifupi sana I need a lot work? ukifafanua zaidi nikaelewa ili niweze kufanyia kazi naamini tutafikia malengo yangu na wenu wadau

  ReplyDelete
 5. KASHY asante sana kwa pongezi zako nimefika mpaka Ikulu ili niweze wapatia habari na picha kama hizi

  ReplyDelete
 6. HII NI SHOW OFF BLOG, KIKUBWA NILICHOKIONA NI MATANGAZO YA DECOR, MENGINE NI VITU BINAFSI, SO CJAELEWA BADO, KAMA SHUGHULI YA KUAPISHWA RAISI, ungetupa pics za shughuli nzima from kuapishwa hadi ikulu, so hapa mmejaa ninyi, what is this??????

  ReplyDelete
 7. asante kkwa kutujuza ila mpiga picha za upendeleo kwani nawaona nyie wanafamilia tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu au ilikua ya kwenu hakuna watu wengine wlikwa

  ReplyDelete
 8. KUAPISHWA NA MAMBO YA KISERIKALI NI KAZI YA WATU WA SERIKALI MKUBWA. SISI TUMEFURAHI KUONA WATU WAKAWADA PIA WALIKUWEPO NA WALIKUA WANASHEHEREKEA. KWANI KUMBUKA HIYO SIO BLOG YA SERIKALI. SWALA LA SHOW OF LIMEKUJIA WAPI? KAMA UNAONA TAMAA AU UNATAKA KUELEWA ZAIDI FUYNGUA YAKO!!!!!!!!!!! MM NI MDAO WA DHATI NA NINAPENDA KAZI YAKO WACHANA NA WAACHOYO WA ROHO HAO. WITH LOVE MUMMY!!!!

  ReplyDelete
 9. ELEWA KICHWA CHA HABARI KWANZA KABLA HUJASEMA PUMBA. NARUDIA.(MNUSO WA KUMPONGEZA RAIS...) UPO HAPO MDAU UNAETAKA MAKUBWA??????? SHOW OFF UNAMAANAGANI. SOMENI KWANZA MUELEWE KISHA TOENI PUMBA ZENU. HELLEN WELDONE

  ReplyDelete
 10. msg delivered!''ilikua ya kwenu hakuna watu wengine waalikwa''??????????

  ReplyDelete
 11. Mashughuli wala usikatishwe tamaa na watu wenye uelewa mdogo. Wengine hawaelewi kuwa hata kama blogu ni yako lakini huwezi kujiwekea mapicha ya watu bila ridhaa yao. Sasa sijui walitakaje upite kila meza ujitambulishe like this "mie naitwa Hellen naomba kuweka picha yako kwenye blogu yangu"

  Watu hawajui kuna ethics na unahitaji consent ya mtu kutumia picha yake ndio maana hata kwenye facebook kuna swali unaulizwa kabla hujadownload picha ukijibu ndio wao hawawezi shtakiwa kwa kutoa picha za watu.

  Mwisho suala hapa si kwanini picha za wengine hakuna bali ni roho ya kwanini tu naye Hellen kaenda party Ikulu, watu wanashindwa tu kusema ukweli lakini wanatamani wateme nyongo, maana hii blogu ilikuwa inaonenakana ya kina mama wa kiswahili wa Kariakoo, Upanga Mikocheni sasa kumbe hata Ikulu mnafika? Ndicho hicho kituumacho mamy maana wengine wanafikiri Ikulu ni kwa watu wa aina fulani tu!

  Hellen huna kosa lolote waache waseme mchana usiku watalala, wewe alokupangia Mola sisi binadamu hatuwezi kupangua, kama ulipangiwa kunywa chai ikulu basi utakunywa sana tu. Na sie tuliotegemea kwamba ni zamu yetu ya kunywa chai ikulu haikuwa hivyo Mungu hakutaka labda tusubiri baada ya miaka mitano!

  ReplyDelete
 12. lol! watu wana maneno, eti kwenda Party ikulu ni deal! aaha aah aahaa!Pole

  ReplyDelete
 13. asanteni wadau wote kwa kunipa faraja na pia kwa kunikosoa ninapokosea, asante sana mam Imani kwa comments zako asante sana mpenzi wangu!

  ReplyDelete