Sponsor

NIMERUDI WAPENZI WADAU WANGU, TUMEMALIZA - EXECUTIVE ASSISTANT COURSE ILIYOANDALIWA NA TGDLC, ANGALIA BAADHI YA PICHA PAMOJA NA WASHIRIKI WENZANGU

10:58:00 PM

Kushoto-Facilitator wetu alikuwa ni Ayoub Rioba , 
Kulia ni Chris ni lecturer kutoka Greece OTE Academy


Left: Mrs. Masika Mwakita from TGDLC, Zitha Dindili From, 
NIMR, Magdelina From TGDLC

Mrs. Masika Mwakitalu - dogo langu 
makini darasani saaana!

MOI-Nikiwa Darasani si unajua 
ukisoma mzee tena ah!ah!

Group Photo

You Might Also Like

4 comments

 1. Dada hongera, ila nimeona pembeni yako kuna box la biskuti, vipi tena dada!!?? diet imekuwa ngumu, LOL!!!!, take it easy nimetania.

  ReplyDelete
 2. Asante sana at least one step aheda, Sio la kwangu ni la mtu mwingine pembeni yangu, niko kwenye diet my dear sis, s when are you coming bakc? miss you alot!

  ReplyDelete
 3. Safi. Hongereni sana kwa kupata elimu kwa njia ya video. Mpo juu.

  ReplyDelete
 4. safi. Hongereni kwa kupata elimu kwa njia ya mtandao. Mpo juu.

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.