Sponsor

KITCHEN PARTY YA GHAMAROON HILALY-20-11-2010

10:01:00 PM


Ukumbi wa Azania Sekondari-Upanga


Ghamaroon Hilaly-Bi harusi Mtarajiwa


Shariifa Hashimu na Shosti wake!!!

Mimi huwa namwita "Cute Fadya" this gal she is beauty, I really like her!!!Fadya na Shumu - pendeza sana


MC-BAHIYA LUMELENZI


Ma' Nuru Mwene Pendeza Hatari - Designer wa nguo hii Bijoha  Simba 


Umecheki kitu cha Bijoha?? Hapa umejiprndelea sana!! nitaisogeza kwa karibu baadaye


Bi Harusi na mama mzazi


Hafsa Mbaraka - Very Cool Lady


Tanti uko juuuuuuuuuuuuu, pendeza ile mbaya


AL-Hanisa wa Zayuni pozi bab kubwaZawadi hii ya Freezer ilitoka kwa dada yake Fadya

You Might Also Like

1 comments

  1. Mambo kuna mama mmoja umekosea jina lake yeye anaitwa kaboga Makani na sio Beatrice Makani

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.