KIBAO KATA CHA KHADIJA MIRAJI MJATA, MTOTO WA MAMAA SALMA ISSA MNTAMBO - UPANGA JANA

RATIBA YA HARUSI YA KHADIJA MIRAJI MJATA NA ABDUL ISMAIL MBUYU:-

PRE-WEDDING 

 18-11-2010
DIAMOND JUBILEE VIP HALL

BAND-TANZANITE BAND

MC KENYATTA

COLOUR OF THE WEDDING:LIGHT PURPLE

DADA'S PARTY

25-11-2010

UPANGA - (Salma Mntambo Residential)

Dress Code: Traditional

NDOA

03-12-2010

POLICE OFFICERS MESS

MC: ISSA MUSA CLAUDE

DRESS CODE: SARE

NB: shughuli zote zina kadi na lazima uingie kwa kadi

Picha zote za shughuli zitaletwa kwenu na mashughuli blogspot
The Source of all mashughuli

SASA TAZAMA PICHA ZA KIBAO KATA CHA JANA!! MAMA SALMA MAMBO YAKO MAKUBWA!!! WATU WOTE WALICHEZA MAUNO SASA....!!!


Kibao Kata

Kwanza tulipewa uji wa kungu, baadaye tukapewa chakula
cha kutosha ili tuyakate mauno uzuri!!!!

Cute Hanifa!!
Mama Beatrice Makani


Watoto hawa niliwaambia nataka watoe pozi la nguvu
basi waliangaika ndio wakanipa hili pozi

MAMAYE MWALI AKICHEZA KWA FURAHA SAAANA!Gere mama gere wanakuonea gereeeeeeee
wataulamba mtama...... gere mama
gereeeeeeeeeeeeeeee

Hivi ni Mauno au Viuno???Aunty aliyevaa orange alinivutia sana kwani yuko fit sana!!!Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. nimemwona mtu kama Mwansafari hapo?
    ndiye?
    na Da Halima yu wapi mbona simuoni hapo?

    ReplyDelete
  2. dada swadakta kwa kutufikisha nyumbani,shughuli haikuwa ndogo ivyoo.nimefurahi sana natamani ningekuwemo na mie nikacheza.hayo ndio mambo tunayoyataka dada Mashughuli iko juu si kidogo mungu akuzidishie.

    ReplyDelete