PICADILLY-WEDDING DECORATION, CUTLERY AND CROCERY FOR HIRE - 0772-777740

Hapa utapata vuti vyote vya harusini kwa ajili ya harusi au sherehe yoyote ila Bro! Masoud ameleta vitu vingi sana!! na bei yake ni chee kabisa, hivi ni baadhi ya vitu ambavyo nitavitoa kwa sababu ni vingi sana, na pia ni Wedding Planners
usisite kupiga simu hizi zifuatazo
0715-557774/0772-777740/0784-777740/0754-777740

Wanapatikana Congo/Rufiji Street
Angali baadhi ya vitu toka Picadilly


 Wedding Invitations Cards design tofauti hizi zinauzwa bei karibu bure


Floating Petals zinauzwa kwa pkt ila hizo zakuwekea zinakoshwa na zinapatikana katika rangi tofauti inategeme rangi gani ya harusi yako.

Kushoto kwangu ni Menu Stand, hii ni kwa ajli ya kuwekea Menu na siyo kuweka makaratasi juu ya meza vyote hivi vinakodishwa


Tissues zinapatika rangi tofauti huwezi kukosa rangi yako! hizi zinauzwa bei cheee kabisa


Mirashi na Wine Buckets vinakodishwa!

List ya vitu ambavyo vinakodishwa:-

Chefing Dishes
Dinner Plates
Side Plates
Coffee Cup
Coffee Thermos
Tea Thermos
High Ball Glass
White Wine Glass
Red Wine Glass
Soup Bowels
Stell Plates
Platter
Sweet Holder
Table Spoon
Soup Spoon
Desert Spoon
Serving Spon
Tongs
Dinner Fork
Dinner knife
Charges
Wine Buckets
Plateau
Chillies Steel Bowels
Washing Basins
Chairs
Tables (1.54m)
Buffet Tables (1.8*0.8m)
Chair Cover - Different Colours
Table Cloth
White Napkins
Overlay in Different Colours
Sashes
Bride & Sofa + Chairs
Variety of Flowers
Pillers - Marble\Wooden\Plastic\Copper
Vases - Marble\Wooden\Plastic\Copper
Platform
Red Carpet
Number Holder
Menu Holder
Reserved
Small Tents
Standaning Fans
Trolleys
Plastic Mates
Wet Tissues
Dancing Floor
 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment