MSIBA MSIBA WA MTANZANIA MWENZETU - MAREHEMU MNOMBA NJAIDIKwa niaba ya familia na ukoo wa Njaidi, tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu na rafiki yetu, MNOMBA NJAIDI kilichotokea ghafla Ijumaa ya tarehe 27 August 2010 huko Ireland. Marehemu alipendwa sana na wengi lakini Muumba alimpenda zaidi - tunamwombea mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina.

Kwa niaba ya familia na marafiki wa marehemu, tunaomba msaada wa hali na mali toka kwa watanzania wote waliowahi na ambao hawakuwahi kumfahamu. Michango yenu ya hali na mali inatakiwa ili kufanikisha usafirishaji wa mwili wa ndugu na rafiki yetu kuelekea Tanzania (Toka Ireland).
Kwa michango tafadhali tumia details zifuatazo;

United Kingdom:
Account name: Y W Mirambo
Account number: 726 59 181
Sort Code: 09-01-26


Bank: Santander Bank
International transfer number: Above details zitafaa lakini namba tutaweka hivi karibuni kurahisisha International transfers

Simu: Yusuph +44 7972256826, Munde +44 7869410750 Chambi +44 7900626410 Tanzania +255 713511795(Yusuph Njaidi).

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment